Mwanamke Nyonga Babu. Ni Nini?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Ukipita mtaani unasikia watu wakisema Mwanamke Nyanga.Ina maana gani? na manufaa yake nini kwa Mwanamke na Mwanaume?Tuelimishane.
 
Itakuwa Nyonga etii?
Yeah ni katikati ya tumbo na kiuno ambapo mwanamke umbo linagawika na kuwa kama umbo namba 8 umeona nane hiyo ndo nyonga yenyewe inajazia mpaka wanaume wakwale wanatoa mate wakikuona. Vp kwani wewe hukoje?
Unapenda na wewe uvutie? Mchina kaleta mzigo wa madawa unajipaka kitu kinatutumuka tu unakuwa na kalio la ajabu.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri,lakini hayo madawa ya wachina si yana madhara eti?
 
mwanamke nyonga kiuno majaaliwa - mwanamke ajue kuizungusha nyonga kimzikimziki kiuno ukiwa nacho chembamba ni majaliwa yako
 
mwanamke wenye wowowowo na kiuno kama nyigu na anaweza kukatika kweli
 
Hahahaha wengi wao iwa wanashindwa kuzungusha kiuno. Nina mtoto wa Kitanga dahh wallahi ananirusha wakuu mtoto white usipime mpwa Yo Yo alafu kajaza kalio lainiiiiiiiiiiii nyonga ndo usiseme huyu hanichuni kabisa nalazimika kumpooza kiaina.
 
hahahaha mpwa subili nikuunganishe nae ila shrti moja tuma air ticket.
yah mpwa fanya faster achague kabisa anataka kukwea pipa gani....tukutane nae usheli sheli
Hahahaha wengi wao iwa wanashindwa kuzungusha kiuno. Nina mtoto wa Kitanga dahh wallahi ananirusha wakuu mtoto whitekajaza kalio lainiiiiiiiiiiii usipime mpwa Yo Yo alafu nyonga ndo usiseme huyu hanichuni kabisa nalazimika kumpooza kiaina.
mpwa unafaidi kichizi.....
 
Hahahaha wengi wao iwa wanashindwa kuzungusha kiuno. Nina mtoto wa Kitanga dahh wallahi ananirusha wakuu mtoto white usipime mpwa Yo Yo alafu kajaza kalio lainiiiiiiiiiiii nyonga ndo usiseme huyu hanichuni kabisa nalazimika kumpooza kiaina.

Nasikia huko Tanga kama umetoka zako Bara(moshi?) unaweza ukapagawa kwa mambo fulani. Wewe sio wa kwanza kusalimu amri, hahahaha!!!
 
Mzee unajua wale watoto wa huku kwanza wanafundwa jinsi ya kumjali mwanaume yaani mpaka unachonga mzinga kabisaaa yaani wanajua kupenda na wanajua mapenzi ni nini yaani we acha tu.
 
Ndo hivyo maana,daaah...! upate wauongo utashindwa pita naye kitaa.Kama wasemavyo ndivyo ilivyo.Mwenye nyonga atakuwa juu tu
 
Back
Top Bottom