Mwanamke ni lazima apigwe na mume, “lau kidogo”…………..!

Huyo alikuwa na tatizo ambalo wewe hukuweza kugundua mzizi wake.

Nchi za watu, mtu wa aina hiyo unakwenda nae kwa madaktari wataalamu wa saikolojia, ambao wangeweza kuwasaidia kupata ufumbuzi.

Si kila anaefanya ukorofi ni kuwa ana hamu ya kupigwa, yaweza kuwa hajui namna ya ku control "stress" zake, na hivyo kujikuta hatulii mpaka akiishiwa nguvu baada ya kupigwa

umeongea point. sasa huku kwetu tunafanyeje?
 
Kupigana kwa wanandoa muhimu, ila wanapigana kwa nyenzo gani ndo suala la muhimu.
Hujawahi sikia watu wanalia kwa hiari?
 
kurudiana? Nilifukuza kabisa! Sasa hivi ameanza kutuma mtoto eti anaongea kwa hekima ili turudiane! Nimempa sharti kama anataka turudiane aolewe kwanza na mwanaume mwingine aishi nae miaka mitatu akiisha kujua tofauti zetu ndipo aje aniombe turudiane maana atakuwa amejua uzuri na ubaya wangu!

umezaa naye watoto wangapi mkuu if u dont mind?
 
umeongea point. sasa huku kwetu tunafanyeje?

Unachoweza kufanya ni kuzungumza na watu kuhusu hilo tatizo lenu ili kusikia kama wapo waliofanikiwa kutatua tatizo kama hilo. Unaweza kufanya kwa kuanzisha thread hapa JF kwa mfano

Pia madaktari wataalamu wa saikolojia Tanzania wapo. Japo haijazoeleka mno, lakini unaweza kwenda kuwaona kwa ushauri zaidi
 
Mimi mama yangu kamwe hajawahi kupigwa na mimi nimelelewa hadi umri huu sijawahi kupigwa na naamini sio kwa sababu nilikuwa mtii sana.

Njia za kumrekebisha mtu mzima mwenye akili na ufahamu zipo nyingi sana, na kupiga si moja wapo. Kupigwa haivumiliki hata kidogo
ukitaka usipigwe chunga mdomo wako tu! pepo la mwanamke liko mdomoni!
 
MWANAMKE NI SAWA NA MTOTO, ANALELEWA KAMA MTOTO. AKIKOSEA KICHAPO KIDOGO KINAMKUMBUSHA MAJUKUM YAKE KAMA MAMA.

SOMA HII
What exactly is the rod mentioned in Proverbs
Jul 2, 2005 ... "The rod in the Bible is a reed-like stick. Proverbs 23:13-14 does in fact promote
physical discipline. 'Don't fail to correct your children.
What exactly is the rod mentioned in Proverbs - 66k - Similar pages
Aisee! Kwahiyo hata mama yangu kwa kuwa ni mwanamke akikosea nimlambe kichapo....God Forbid!
 
LABDA MIMI ndiye sielewi! inakuwaje wanawake wote mnadai hamtaki kupigwa! kwa nini wangu alikuwa anataka nimpige? yaani nisipompiga anaweza tukana hadi asubuhi! au nilioa kichaa? eti nimemfukuza ameanza kutuma mtoto ili nimrudishe! kwani wakati anataka kupigwa hakujua nyumba yenye amani inatakiwaje?

Hakuna mtu anayependa kupigwa kwenye hii dunia. Huyo ana matatizo binafsi....Kama alivyosema Gaijin, nafikiri anahitaji msaada zaidi. Pole yako.
 
Aisee! Kwahiyo hata mama yangu kwa kuwa ni mwanamke akikosea nimlambe kichapo....God Forbid!

huwezi kumpiga mama/baba, ni kwa mke na wengine waliochini ya uangalizi wako asprin-wale unaowapa dozi yako
 
waungwana ukweli ni kwamba mwanamke ni kama mtoto kwa mwanaume huwezi ukaishi nae maisha yote bila kumzibua japo mara moja ambayo hutarudia tena ibaki kukumbukwa kwake kuwa siku moja ulimpiga so, inabidi awe na tahadhali usirudie kumpiga ukweli unabaki pale pale ustarabu wa mwanamke unamapungufu bila kumbusti ni uongo mimi J, NI ZAIDI WASTAARABU KATIKA SWALA LA KUMPIGA MKE WANGU KWANZA NAMPENDA SANA NA YEYE ANANIPENDA SANA lakini hii hutumika kulekebisha mapungufu na nikweli inakuwa tiba sasa wewe usiyetaka kuguswa kisa umepigwa sidhani kama unalengo la kudumisha ndoa yako nafikiri tuwe makini kuchangia mjadala huu tupate ufumbuzi kipi bora utakuwa msaada mkubwa sana.
 
ukichunguza sana wanaume wanaopiga wake zao ni wale wasiojiamini, wasiotaka kuwa challenged, walioathiriwa na malezi fulani ambaye anadhani kutumia miguvu yake kupiga ndiko kunamfanya awe mkamilifu, anadhani uanaume wake unakamilika pale anapopiga..............
 
Hebu tupe kinaga ubaga hayo makosa unayohalalisha mwanamke kupigiwa?
 
Waliokulia nakucheze kwakuchezea nyuma ya fridge,hawjui msamiati wakupigwa ila wakiokua kwakuchezea nyuma ya vichuguu,jembe na wakabahatika kupata elimu wanajua msamiati wakupigwa na wakikoso huomba msamaha wasipigwe!ila wanyuma ya makabati na mafridge wakikosa hujua nisehemu ya mwanadamu kufanya makosa na mume nimtu wakuwanaye tu wakiamini siyo wakumwuliza kwanini amekosa!ukimwuliza kwanini umefanya hivi anakujibu kwani nini cha ajabu kama unaona nimekosa basi nawewe unaweza kurekebisha!!hiyo ndotofauti ya hawa watu wawili!
 
Ili ndoa iwe imara na idumu lazima kuwe na discipline. Mkiwa level moja wote hakuna maelewano na ndoa haitadumu. Lazima mwanaume amkanye mke angalau kwa kichapo kidogo hata kofi tuu angalau kurudisha heshima. Mwanamke ni kama mtoto, anahitaji kuongozwa!!
 
Kama mpigaji anaona anayo haki na mpigwaji nae anaona anastahili waendelee kupigana tu. Binafsi huyo mwanaume anaeongeza kujiamini kwa kumpiga mke/mpenziwe asije akathubutu kwangu tu.
 
ukichunguza sana wanaume wanaopiga wake zao ni wale wasiojiamini, wasiotaka kuwa challenged, walioathiriwa na malezi fulani ambaye anadhani kutumia miguvu yake kupiga ndiko kunamfanya awe mkamilifu, anadhani uanaume wake unakamilika pale anapopiga..............

Hili nalo neno!
 
Hebu tupe kinaga ubaga hayo makosa unayohalalisha mwanamke kupigiwa?

mwanamke-akimpiga-mwanaume1.jpg

Ikiwa hivi kwa nyie wabeijing ni sawa
 
Back
Top Bottom