Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Macho, chuchu, rangi, muscles, kuhema etc! Akifika orgasm kwa hakika haitakiwi kiwe kitu cha kumuuliza....kama sio 'mzoefu' unaweza fikiri anakufa(explode!):lol::lol::lol:. Achana na 'makelele' ambayo 'wezi' hupenda sana kuyatumia!

Kuna makelele mengine kichwa tu kimeingia mtu tayari ameshaanza kuimba "Oooh shit beib you drive me craize"
 
  • Thanks
Reactions: SMU

umenikumbusha niliwahi kuchukua li fisi limoja nikalipelekea moto duh niliogopa nikawa nafikiria jinsi nilivyonunua mada kesi yaania alipokuja kuzinduka ilikuwa saa sita usiku nikajifanya kuna dharura imetokea na nimepigiwa simu hivyo natakiwa niende nikalirudisha kwao usiku huo huo sikutaka hata cha pili kisa cha kuja kufiwa ndani niishie magereza wakati tulikuwa tunarahana
 
Heheheheee duuh!
 
Kuna makelele mengine kichwa tu kimeingia mtu tayari ameshaanza kuimba "Oooh shit beib you drive me craize"

Hahahahaaa hii inanikumbusha machangudoa. Eti utamkuta analia kabisa eti unamuumiza....kumbe hamna lolote.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
umenikumbusha niliwahi kuchukua li fisi limoja nikalipelekea moto duh niliogopa nikawa nafikiria jinsi nilivyonunua mada kesi yaania alipokuja kuzinduka ilikuwa saa sita usiku nikajifanya kuna dharura imetokea na nimepigiwa simu hivyo natakiwa niende nikalirudisha kwao usiku huo huo sikutaka hata cha pili kisa cha kuja kufiwa ndani niishie magereza wakati tulikuwa tunarahana

Nilikuwa na hasira leo but post yako imenifanya nicheke sana!Dah JF is never boring jamani!
 
kweliniliokutana nao mimi duuu wanabadilisha lugha wanvyotamka sivijui,ukipata nafasi ya kumuungalia machoni utadhani anataka kufa vile mwishoni huwa kama kazimia,hivi lile tendo la kukojoa lingedumu kama dakika tano si wangekufa wanawake wote jamani
 
Mama mia (MAMMAMIA) hebu elezea tu hata kwa kutumia uzoefu wako kwenye hili game.
Wataalamu wameshasema mengi, lakini zaidi ninabaki na hiyo moja kuwa "kila mtu ni wa aina yake". Sidhani kama kuna ishara zinazofanana kwa wote.

Sina uzoefu kuhusu hili, sijawahi kuuliza au kuulizwa kama nimemfikisha safari yake, wala sijawahi kulalamikiwa kuwa "umeniwacha njiani". Aidha, nikitaka kuua siangalii "machoni" nisije nikaanza kuona huruma.

Pia kama alivyosema Kitalolo katika Point#37, pengine baada ya dozi mwenzako karibu nusu saa kalala karibu fofofo, mpaka unataka kwenda kutoa ripoti polisi kuwa umeshaua, kumbe wala. Je, tuthibitishe kuwa hiyo huwa ishara ya wote? Je, kila anayefanya hivyo ndio kakwea mpaka kileleni?

I think it's not a matter of "cut-to-fit-all-sizes".
 
Kwanza nikanushe kitu: SI VUGUMU SANA kama inavyosadikika. Ni vile huwa wanaume wengi hawajui nini wafanye kuwaridhisha wapenzi wao. Wengi hukimbilia kusukuma ndani na nje kana kwamba kuna shughuli ya kutumia misuli pale. Sehemu zinazotakiwa kuguswa ili uonekane wa maana wala haziko huko maili saba kutoka langoni. Wewe jaribu kuingiza vidole vyako viwili vya mkono hapo kwa ndani kidogo usawa kama wa inchi 2 upande wa juu halafu fanya kama unamuita mtu kwa ishara halafu uniambie bado ni vigumu.

Akifika kileleni utamtambua kwa namna atakavyobadilika. Yawezekana akalegea au akaongea mambo yasioeleweka kwa muda fulani yakifuatiwa na uso wa haya. Lkn kila mwanamke ana style yake. Ila si kweli kwamba ni ngumu.

Bro inaonekana wewe ni mtaalam sana wa mambo haya,hebu endelea kumwaga maujuzi yako ili na wengine wafaidi zaidi
 
Back
Top Bottom