Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

y mwembamba ni bora? alafu hapa mtachochea watu wajaribu diferent type of K
 
nyama tamu
pilipili tamu
sukari tamu
limao tamu
stafeli tamu.

Na hakika kungekuwa na kipimo cha maabara kuhakiki utamu wa wali ni nini, ha hakika kuna watu wanasema wali mtamu lakini kiukweli ladha wanayokuwa wanahisi wakati huo ni ya mapera.

Bora ladha ilikuwa siri ya kila mtu, hata kitu kiwe kitamuje huwezi mlambia mwenzio asikilizie. Wee amini unachoamini.
 
Leo kila mtu anawaza utamu. Lininkuna mkutano mwingine wa chadema, nimemuona jirani yangu polisi anasafisha bunduki
 
Hakuna mwanamke asiye sukari kama ukimtumia ipasavyo na yeye akajishughulisha ipasavyo!
 
Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?

Hili swali gumu kwa sie tangu tumezaliwa tumedumu kwa mmoja tu hivyo inakuwa ngumu kutoa mawazo, embu tusubiri wadau waliowahi kumilki wasichana idadi inafika mara nne ya umri wao
 
Swala hapa ni kujua mapemzi na kanuni zake na mizungu kama hujui hata upate mwembamba mnene aliyefungashia kama wewe mwanaume hujui kusoma tabia na mabsdiliko ya kihisia za wanawake utaishia hvyohvyo mara mwembamba nfo bomba mara mnene kumbe tatizo ni wewe mwanaume bora ni yule ajuaye kucheza na mwanke wa aina yyt jamaniahaba ufundi tu ss wanawake tunajua kasoro zenu bali tu.wajuzi kucheza na nyie mahaba kuyajua ukiyajua wote utawaona wako bomba tu na si kuchagua udhaifu huo mahaba matamu mkiyapatia iheeeee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom