Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?

Utamu wa pipi mate yako!!
 
tatizo minene itapata radhi ambayo ni shida tupu na ukweli ni kwamba slim ladies ladies wanakuwa presentabble ata ukivaa nguo inapendeza
 
haaaa slim ladies niwatam kinoma hasa kwenye mastahili maana kuna majambozi mengine wanane hawaweizi eeeee bwana nomaaaaaaaaaaa
 
nivea, upande wangu naona kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanaume. Wengine sura, wengine umbile, wengine miguu, wengine wowowo, wengine wanawake wembamba nk. Baadhi yetu pia huwa huvutiwa hata kwa uwezo wa mwanamke kuongea vizuri, ucheshi, umakini, ukarimu na busara pia! Na wapo pia wanaovutiwa na michezo ya 6 X 6 na wala hawajitaabishi kuangalia mambo mengine nje na hilo.

Haujagundua kwa kusoma tu artile au comments za watu fulani fulani unajisikia kuvutiwa nao hata bila kuonana nao? So hata uongeaji wa mtu unaweza kuwavutia baadhi ya wanaume.

Ila kwa kifupi, sidhani kama kuna formula ktk hili jambo.
 
2natofautiana ila kuna ukwl sana kwa hili ila slim sio kila slim awe amejengeka na pia sura hipo......kwani unaweza kuwa slim na usivutie
 
Napenda madude mie! Vimbaumbau havina radha, vinapendeza machoni tu. kwenye 6 x 6 manene ni matamu muno; yana mashamsham!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom