Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

HA HA HAHAA! Ya walevi haya jamani! hapa kila mlevi atasifia aina ya kinywaji akipendacho.
For this thread let me be the watchdog.
 
mhh sisi wafupi na wanene.......pole yetu
wala,usisikitike mkuu, kufanana mnapoongozana inachukua nafasi ndogo sana katika mahusiano na sidhani hata kama inafikia asilimia kumi. Unaweza ukakosa u tall lakini mungu akawa kakupa mambo mengi sana mazuri ambayo warefu hawana.
 
wembamba ndio bombaaa maana ata kimaumbile wanawake wembambaa wana k*m* kubwa kuliko wanene!
Fanya uchunguzi m2 wangu, wapo wanene wenye hiyo kitu noma. Pia wembamba hawana raha wakati wa ku-hugg. Kama mtu unaji-huggy mwenyewe.
 
hii figure ndiyo namba ngapi vile? huyu wa hivi ndo bomba hata kumweka ndani, no pressure nor diabetic ni wewe na yeye tu.
Utachekwa na wasiojua kucheka kiongozi. Maumbo ya hivyo siku hizi yamejazana mitaani, unamwangalia m2 hadi unashindwa kujua match kwake inakuweje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom