Aisha Adam
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 460
- 103
Du! Kumbe tunasoko
funika bovuheri yangu mm kafupiiiii halafu kanenneeeee ajali nitakazosababisha labda maguta yagongane.
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Mhh sisi wafupi na wanene.......pole yetu
Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Nabisha!Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Ongozana siku moja na aliye fungasha wowowo likafungashika uone manjonjo mtaani
ndio maana yake
Mwanamke mwembamba hana uwezo wa kuvunja ndoa ya mtu
wanawake wembamba wavutia lkn co wote kuna baadhi yao pia wanachukiza kwan utkuta mtu mwembamba mpaka unaogopa kumuangalia mara mbili
Mh......Mmmmmh hawezi vunja ndoa???? wanawake wembamba ving'ang'anizi sana akikamata mme wa mtu hachomoki
Mh......
Na wewe mume wa mtu umemwacha wapi mkeo mpaka ukakutana na king'ang'anizi??
Ningependa kujua lunch yako ulikula nini kabla sijacomment maana kuna vyakula vingine unaweza ukapata maruweruwe...........
Si unajua wembamba hawana mvuto sasa akipata mwanaume nae ndo hapo hapo anang'ang'ania na kubambika mimba
Nina wasiwasi kuwa jamaa huyu lunch yake ilisindikizwa na kinywaji jamii ya konyagi-pori, maana maluweluwe yake huwafaghiribu akili kiasi cha kuona kila kitu mbele yake ni kizuri. Jamani uzuri wa mtu unategemeana na mwenye jicho husika...wakati wewe ni wenye umbo la sindano...wengine majimama yaliyosheheni nyama-ujinga ndio hasa!....Raha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
pia huwa wanakuwa na uke mrefuRaha sana kuongozana nao mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa mrembo.
Hawana mvuto afu bdo wanapata wanaume?? Inakujaje hapa?? Umewahi kung'ang'aniwa nini?? Mimba haibambikwi bana km ulivutiwa mpaka ukala kavu2 ujue mimba ni yako...lol..
mmh mmh! Hayo kasema K c o mimi!pia huwa wanakuwa na uke mrefu