Mwanamke kumwambia mwanaume amempenda je ni kujidhalilisha

yaani first encounter alafu aseme ananipenda..huo ni uwongo ...akisema nimekutamani hapo nitamuelewa
 
Ni kawaida tu mbona , aeleze hisia zake kwa ampendaye tena kwa kujiamini...
.
.
Mimi jambo kama hilo ku be approached na mwanamke limenitokea mara nyingi tu na nilichukulia kawaida, mpaka sasa umri wangu ni early twenties na nimesha wahi ku aprochiwa na 4girls..
Sio ile ya kujipitisha pitisha hapana ni ile ya kutalk real , uso kwa uso.
.
.
Unajua kitu ukikiangalia kwa mrengo hasi (-ve) ..
Siku zote hakita kuwa chema..

Jaribuni kuangalia na kupima mambo kwa upana na kuangalia positivity zaidi.. Ili ku ballance.

Unajua wengine wakiambiwa hivyo basi wanachukulia mwanamke malaya.. Kumbe hawajui wanawake pia hupenda ila tuu huwa wanashindwa kueleza hisia zao kwa walengwa..
 
yaani first encounter alafu aseme ananipenda..huo ni uwongo ...akisema nimekutamani hapo nitamuelewa

Kwani kupenda kunaanzaje kunaanza na kuvutiwa(atracted) kwanza na mhusika na ndio kujuana baadae..
 
Mimi huwa nabahati hii sana...hata na uzee huu lakini wakiniona tu..wanalowa kabisaaaa. Sijui sababu ni urefu au mwili!
 
Kuwa rafiki wa karibu kwanza ....umjue vizuri sio kukurupuka na kasema unampenda maana kumpenda mtu ni jambo pana ....na unapokuwa karibu nae utajua kama unampenda kweli au la na Kama ni ndio ni rahisi kumwambia..mawazo yangu tu
 
Naombeni kuuliza hili maana imetokea kwa rafiki yangu amempenda kijana alimuona kwa mara ya kwanza.

Sasa ikawa anashindwa kumwambia sababu tuu ni sababu ya hofu yule mwanaume atamchukuliaje?

Akaondoka anasononeka sana tuu kashindwa kueleza hisia zake kwa huyo mwanaume.

Je ni sawa na haki mwanamke kueleza hisia zake au ni kujidhalilisha?

Mi nikimpenda mtu namwambia I got nothing to lose. wahenga walisema "It hurts to love someone and not be loved in return. But what is more painful is to love someone and never find the courage to let that person know how you feel."
 
kwani kupenda kunaanzaje kunaanza na kuvutiwa(atracted) kwanza na mhusika na ndio kujuana baadae..

sasa ndio aniambie kuwa amevutiwa na mie sio asema nimekupenda....alafu wala bidada asiogope next tym awe huru tuu huku anaonyesha upaja
 
Kuwa rafiki wa karibu kwanza ....umjue vizuri sio kukurupuka na kasema unampenda maana kumpenda mtu ni jambo pana ....na unapokuwa karibu nae utajua kama unampenda kweli au la na Kama ni ndio ni rahisi kumwambia..mawazo yangu tu

Sasa angeanzaje kuwa karibu kama sio ndio dada aanze kuomba namba ya simu ama kueleza ukweli wa hisia zake.. Hapo ndio pana ugumu kidogo panahitaji mwanamme muelewa..
 
Mi nikimpenda mtu namwambia I got nothing to lose. wahenga walisema "It hurts to love someone and not be loved in return. But what is more painful is to love someone and never find the courage to let that person know how you feel."

Uko sahihi kabisaa..
 
hakutendea haki nafsi yake unampa makavu unasepa kama ujali .... au unamwambia nakupenda kama kaka huku badae ukiinamainama kwa maringo hakuna ukaka usiokuwa wa damu moja.......................

Hahaha hii nayo imekaa vizuri nakupenda kama kaka hahaha
 
Tatzo wanawake wengi ni waoga wa kusema na wakati wanaumia moyoni....mwanamke ukimpenda mwanaume mwambie coz u're human being na unahisia
 
Mimi huwa nabahati hii sana...hata na uzee huu lakini wakiniona tu..wanalowa kabisaaaa. Sijui sababu ni urefu au mwili!

Inaonekana we handsome boy na una utulivu fulani hehe,,
Maana wakaka wazuri ni shiiida..
 
Back
Top Bottom