Mwanamke kueleza hisia zake za mapenzi maoni na mtazamo...

Hayo maneno ya DHANA potofu, ushamba n.k ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadili.
Hapo kale ilikuwa ni marufuku wewe na mkwe wako wa jinsia tofauti na wewe kushikana mikono, kupishana wala kukaa karibu naye, unajua wazee wetu waliona nini hapa?

Siku hizi ni kawaida MKWILIMA kukumbatiana na mama mzazi wa mke wake (Mama mkwe), nini kinatokea? Je sababu ni nini?
Haya sasa baba anamkumbatia binti yake mkubwa (na mavazi ya siku hizi) eti mambo ya kileo, nini kinatokea?Habari za akina baba kuzaa au kutembea na mabinti zao zinaongezeka kila kukicha, sababu ni nini? Kiumbe chenye mauti huongozwa na tamaa, je tamaa inakuwa activated vipi? Vicheo vyake? Mipaka yake ni nini?

Mila na desturi za mababu zetu zina maana kabisa (fanya uchunguzi), huu uchakachuaji tunaoufanya siku hizi (Mf: Mwanamke kumtongoza mwanaume) ndio unaotupoteza na kuishi na kufanya mambo kama wanyama!
 
ahh wanaume wenyewwe awa?
NAKWAMBIA USO WA MBUZI PAAHH KAKA NAKUPENDA UNASEMAJE SASA?
NGONO APANA KM UNANIFILI TULIANZISHE APO BADAYE MPANGO KAMILI KM HAUNIFIL ATA KDG NAMBIE NISEPE ..UNASEMAJE?

dah lazima aende akawasimulie wenzake...nimekutana na mzimu km demu mwana umeniiimbisha ivi iv bila projecta kitu live...hahha hahh!

Rose hii lugha inanipa shida kusoma. umejifunzia wapi nami nikasome?
 
ahh wanaume wenyewwe awa?
NAKWAMBIA USO WA MBUZI PAAHH KAKA NAKUPENDA UNASEMAJE SASA?
NGONO APANA KM UNANIFILI TULIANZISHE APO BADAYE MPANGO KAMILI KM HAUNIFIL ATA KDG NAMBIE NISEPE ..UNASEMAJE?

dah lazima aende akawasimulie wenzake...nimekutana na mzimu km demu mwana umeniiimbisha ivi iv bila projecta kitu live...hahha hahh!

Hahahahahah wewe kiboko huyo demu atakae tumia hayo maneno atakuwa teja lol
 
kweli sie hua waoga ila kupenda tunapenda kweli kama miye ninavyo mpenda mfungwa Ivu....a yani basitu

Hivi ulijuaje ukatoa hiii mzee? unajua umeniaidia ee.

Wanawake ndio huwa wanafanya approach ya kwanza sema tuu wanaume hatunote hizo signs. Baada ya kunote signs za you may enter, ndio mwanaume anafanya move.
 
Wanawake ndio huwa wanafanya approach ya kwanza sema tuu wanaume hatunote hizo signs. Baada ya kunote signs za you may enter, ndio mwanaume anafanya move.

Hapo ni chemistry ndio inayokufanya ufanye move mfano mie humu jf kuna mdada japo kaweka avatar ambayo sio sura yake lakini chemistry zetu zimemeet karibu tutafanya move na kuwatangazia lol
 
Mimi kumtokea mtu siwezi, na kwanza sijui kama nimewahi kumpenda mtu ambaye hajaniambia kuwa ananipenda. Ila kueleza feelings zangu kwa mpenzi wangu ni mara nyingi tu sababu naamini ana haki ya kujua feelings zangu kwake.

Old school!!!:coffee:
 
Attachments

  • letter.jpeg
    letter.jpeg
    24.4 KB · Views: 60
Mie nimejionea mwenyewe hili! Kuna dada mmoja tena january hii alinipigia simu na kuniuliza nipo wapi, baada ya mimi kumwuliza yeye ni nani akataja jina lake na kuniomba kuonana na mimi. Nilimjulisha nilipo na alipokuja, alionyesha alikuwa anaona aibu sana kuniambia shida yake, lakini akaniomba aniambie kwa sms tukiwa tunapata soda, sms ilipo ingia kwenye simu yangu, akasema ananipenda sana tangu siku nyingi, ameshindwa kuvumilia na akaomba nimkubalie ombi lake na yeye siyo malaya! Nikamwambia anipe muda, na tangu siku hiyo, kila siku anapiga simu kuulizia jibu lake, anasema yupo tayari tukapime pamoja kama simwamini kiafya! Hivyo wasichana wa sasa wanauwezo wa kuweka hisia zao wazi kwa wawapendao!

Sinai umenichekesha sana.......... nway I still believe in women hidding in their closet and yet can express their feelings in their own way............body language, body language and body language again
 
Hiyo body language halafu body langu again imetulia sana lol......usiombe mwanamke akuonyeshe body language wanakuwa wanamaudhi sana yaani wengine utahisi au mie namhisi vibaya? Maana unaweza kumtokea ukakuta wala hajakusudia nadhani msg au ikibidi kumwambia imekaa vzuri.
 
Wanawake ndio huwa wanafanya approach ya kwanza sema tuu wanaume hatunote hizo signs. Baada ya kunote signs za you may enter, ndio mwanaume anafanya move.

nakubaliana na wewe mkuu - tembea yangu yote nimeanzwa na mademu, sio wameniambia direct, lakini niliona signs zao na mimi niaka-approch, walitaka sababu tu ya kuanza..
 
Mo' sote binaadam tumeumbwa na mapendo - kwa hiyo sioni ubaya mwanamke akikwambia anakupenda.
Dalili za mapenzi zinaanza kote kwa mwanamke na kwa mwanaume, isopokuwa sisi binadam mara nyingi
tunafikira mbovu - eti mwanamke akikwambia nakupenda ndio ameshakuwa sio mwanamke mzuri kwa tabia
that's wrong.
 
Mo' sote binaadam tumeumbwa na mapendo - kwa hiyo sioni ubaya mwanamke akikwambia anakupenda.
Dalili za mapenzi zinaanza kote kwa mwanamke na kwa mwanaume, isopokuwa sisi binadam mara nyingi
tunafikira mbovu
- eti mwanamke akikwambia nakupenda ndio ameshakuwa sio mwanamke mzuri kwa tabia
that's wrong.

Binaadam wa kitanzania/kiafrika......
 
Unamkubalia halafu mnamalizana! Leteni mahisia yenu tu mtapokelewa na kujibiwa vizuri sanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom