Mwanamke aolewa na wanaume wawili

Duh ka7i kwelikweli. Inavyoonekana mama anatengeneza pesa za kuwapa hao jamaa. Na wao wavivu hawataki kufanya kazi, kwa nn wasiolewe?
 
Awali niliwah kuambiwa kuwa wanawake wa mikoa ya kusini kama vile mtwara na lindi hususan wamakonde ndio wanatabia ya kuolewa na wanaume wawil lakin hufanya siri sana,hakuna mume anaejua kati yao......ila hii kali
cio wawl 2! Kuna wa kutoka nae,chuma ulete na mwanaume kazi.i got dis confesion from mwanamke wa huko!
 
aah hawa wauza pombe za kienyeji mi sishangai bana,hata aoe wanaume 7. Ni tabia yake tu na hamu yake so anagawa sawa bin sawia. Wakiwa saba ni siku 1 moja kwa kila mmoja ktk wk 1.
Big up bibi uza pombe watu walewe!
 
Revolutionary woman! Amecome openly kuliko wengi wetu wenye wapenzi wa siri watatu or more! Big up waume wa mama kaole kwa kuishi kwa kuelewana!

Imagine threesome chumbani? May be they won't reach that extent!

NI kweli she is a revolutionary woman. Naona ni vizuri kuwa na waume wawili kuliko kuwa na mmoja halafu unagongesha kwa wanaume 20, huu ndio unafiki uliopo. Kuna wanawake wengi tu tunakutana nao kila siku. Wao wana mume mmoja kisheria (de jure) lakini (de facto) wana wanne au watano mitaani, kuna wanaume wengine wengi tu wana mke mmoja kisheria, lakini vimada msururu. Huu ndio unafiki uliopo, mwanamke huyu anatakiwa kupongezwa kwa kuwa mkweli na kutokuwa mnafiki.
 
Watu wengi wametoa maoni yanayoonyesha kwamba hao wanaume wamekubali kuishi hivyo kwa sababu ya pesa ya huyo mama. Kuna aliyefikiria kuwa inawezekana mama anauweza sana 'mchezo' kiasi kwamba kina baba imewalazimu kukubali kushare kuliko kuukosa kabisa? Am just wondering..
 
Hii ni hali ya kawaida kwa nchi kama India ambapo aina hiyo ya ndoa inaitwa poliandry. Sikujua kama mambo hayo yapo hapa kwetu!
 
hakuna jambo jipya hapa wadau, hii ndio style ya wanawake wa kileo! huyu amekuwa muwazi tu, wakati wanawake wengine wana miliki wanaume zaidi ya wawili japo wanafanya kwa siri mno!
 
Sio mara yangu ya kwanza kusikia
story kama hizi....

Sijui ndio ku fix lile tatizo la wanawake
Wengi na wanaume wachache....
tatizo la wanawake wengi haliwezi kuwa-solved kwa njia hii bana! badala yake lina waongezea uhaba wa wanaume, kwa kuwa hao wanaosemekana kuwa wachache wanaendelea kumilikiwa wawili-wawili ama pengine zaidi.
 
Katika Mazingira ya Tanzania hili jambo ni jipya, bt kwa nchi kama India hili swala sio geni, ndoa za namna hii zimetawala ktk kile tuitacho kama mfumo wa Polyandry!
 
Back
Top Bottom