Mwanamke anayewatesa majirani kwa Kelele za Ngono atiwa Mbaroni tena

Hahaa... Hakimu kama ni wakike asitoe hukumu mpaka ajaribu mkuyenge wa mume wa huyo mwanamama isijekuwa mtu anpata vitu konki vinamzidia uwezo, watamuhukumu bure..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo manengelo jitahidi kuanzia leo uanze kuunga mkono juhudi
Na pia ukumbuke miguno haina chama, usione aibu kupiga makelele kwa kudhania majirani watafikiria kua umejiunga na sisiemu.

Maendeleo hayana chama

Hhqbqhahahaa mgugu ww ni chizi sana jaman nimechka sana kwakwel hahahhaha
 
Masisiemu ndio yanajulikana kwa kupiga mikelele
Mi nikishakua na demu ndani yaani kwa style zao tu na vionjo walivyonavyo najua kabisa huyu ni sisiemu, chadema au eisiiti mzalendo.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂cdm tunagugumia na kulia kwa raha🕩
 
Wengine kelele zinatusaidia kutuhamisha kwenye sayari hii yenye machungu kibao

Ukimuona tu mnyama amefura.....kilio kinaanza

Akigonga hodi ....hehehehehe niishie hapa bado asubuhi

Mtakaosema ni maigizo ili tukamue hela mtajiju ila hii ni moja ya starehe yangu usipige deki ila niruhusu niimbe niwezavyo...majirani shauri zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cdm tunagugumia na kulia kwa raha🕩
chadema gemu ikikolea anajikuta anagugumia huku anatamka pawa, pawa, pawa,paaawaaaaa, kidume hapo ili kumnogesha awahi kufika kibo inabidi umkoleze na kauli ya pipoooooz.

Samahani mkuu, wewe ndio tulikutana Iringa mwaka 2009 pale pori kwa pori?
 
chadema gemu ikikolea anajikuta anagugumia huku anatamka pawa, pawa, pawa,paaawaaaaa, kidume hapo ili kumnogesha awahi kufika kibo inabidi umkoleze na kauli ya pipoooooz.

Maendeleo hayana chama
Hapo utakuwa unafanya mapenzi au utakuwa ni mkutano wa chama?
 
Wengine kelele zinatusaidia kutuhamisha kwenye sayari hii yenye machungu kibao

Ukimuona tu mnyama amefura.....kilio kinaanza

Akigonga hodi ....hehehehehe niishie hapa bado asubuhi

Mtakaosema ni maigizo ili tukamue hela mtajiju ila hii ni moja ya starehe yangu usipige deki ila niruhusu niimbe niwezavyo...majirani shauri zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu we kapisi unaonekana kabisa una vaibreshen ya hatari.
Usiniulize nimejuaje na wala Usifikirie kua nna undugu na shee yahaya useni.

Maendeleo hayana chama
 
1552970764043.png
 
Back
Top Bottom