mimi ninacho
viharage si hivyo hapo kwennye avatar yako bandiga na super gluu ila ukiwa na mwanaume wakihaya au wanaopenda katerero atakinyofoa hahahahMie sina ki-harage, nauliza hivii, kwani wachina hawana viharage feki? Au hakuna namna wataalam wanaweza fanya kukirudisha ata kama sio kikubwa kama orijino?Mbona watu wanaunguaga makalio na wanawekewa nyama hatimaye wanakuwa na makalio? Nisaidieani jamani nipate kiharageee!
viharage si hivyo hapo kwennye avatar yako bandiga na super gluu ila ukiwa na mwanaume wakihaya au wanaopenda katerero atakinyofoa hahahah
bandika ila ukwepana na wazee wa katerero hahahah atakupikinyua akingo'olee mbali hahanivea i am serious, wacha matani, nahitaji kiharage cha kichina
Kwa hali hii, inabidi makabila yanayofanya hivi yapate elimu kuhusu haya maswala na kuacha kabisa na tamaduni hii.
Maana si tu kuzalilisha wakina mama bai pia inafanya wakose vungi na kujiweka ktk hatar ya maambukizi
Kabla ya kusema wabadilike inabidi ujiulize wanakeketa wanawake ili iweje??? Unajua kuwa nia kubwa ni kuwapunguzia uwezo wa ku enjoy sex?? Ili waume zao wakiwa na wake wengi wao watulie tu wanasubiri kwa kuwa hawana mihemko???
Sasa kusema mtu kakeketwa afu hajatulia mi nimeelewa kuwa hatulii kwa kuwa anaamini kuto enjoy ni tatizo la mwanaume kumbe ni lake...anaendelea kutafuta wa kumridhisha.
Na ni kweli mi mwenyewe nimekuwa nashangaa nina watu nawajua wamekeketwa na hawajatulia wakati aim ni kuwafanya watulie...kumbe wanatafuta wa kuwaridhisha ambaye hawata mpata.
Mie sina ki-harage, nauliza hivii, kwani wachina hawana viharage feki? Au hakuna namna wataalam wanaweza fanya kukirudisha ata kama sio kikubwa kama orijino?Mbona watu wanaunguaga makalio na wanawekewa nyama hatimaye wanakuwa na makalio? Nisaidieani jamani nipate kiharageee!
Mtani wangu KOKUTONA hii mada nimechelewa kuiona lakini tulishawahi kuijadili hapa kama miaka miwili hivi iliyopita lakini kwa comments chache nilizosoma hapa ni dhahiri kwamba wengi wanacomment kwa kusimuliwa ama hisia zao potofu. Pamoja na kwamba nina maslahi ya moja kwa moja katika suala hili lakini upotoshaji umekuwa ni mkubwa zaidi kuliko ukweli wenyewe.
Kama kuna yeyote aliyekeketwa ajitokeze hapa nimswalishe maswali mawili au matatu tu ili tupate muelekeo. Upo ushahidi wa dhahiri kabisa kwamba wanawake wengi wasiokeketwa wanapangisha wanaume foleni kwakuwa tu hawajapata wa kuwafikisha kilele cha mlima kilimanjaro, sasa hizi swapping statements za kusema waliokeketwa ndio hawafiki ni uzandiki tu wa baadhi ya wanaharakati wa masuala ya jinsia-ingawa kuna baadhi ya vitu nawakubalia, lakini sio hili la kufika kileleni.
Nadhani ni vizuri zaidi tukajitahidi kutochanganya kati ya tabia za mtu mmoja na kuzifanya ni za watu wote. Sisi ambao bibi zetu, mama zetu, shangazi zetu, dada zetu na mabinti zetu wamepitia mchakato wa kukeketwa tunafahamu kwa uhakika kwamba kukeketwa hakusababishi mwanamke kutokufika kileleni, zipo sababu nyingine za jumla ambazo zinawakumba wanawake wengi tu hata wale wasiokekektwa.

Mwita inawezekana kama usemavyo kuwa wana harakati wamepigia debe mitazamo yao na kuupotosha umma.
Lakini unaonaje kuwa inawezekana si umma tu uliopotoka ni hata dada zako pia nikiwa na maana wamekuwa influenced na discourses za hao wana harakati to the extent ya kuamini kuwa hawako kamili...na hiyo ime wa affect kisaikolojia, ndio maana wanasemwa kuwa hawaonyeshi ku enjoy; wana feel shy kuwa na wanaume wa makabila mengine kwa kuwa watasimulia (kama huyu alivyofanya) etc...na inawafanya wa lose confidence which is necessary kwa mwanamke kufika kileleni.
Ahsante sana Mwita Maranya. Sasa mtani utatusaidia ukutudadafulia kuwa ilikuwa nini hasa sababu ya kuwakeketa wadada wa kwenu na nini faida na nini hasara?