Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Kuna ukweli wowote kuwa wanawake waliokeketwa hawajawahi kuwa satisfied kimapenzi hata wakutane na mwanaume fundi kiasi gani?

Nimeuliza haya baada ya kukutana na kisa mtaani. Kuna binti mmoja very beautiful huku kwenye jamii yetu. But ni easy going vibaya mno, na ameshanusurika sana kwenye matukio.

Nilikuwa saloon, mara akapita na kulikuwa na vijana wanapolish nais wateja. Mdada mmoja akamtania mmoja wa wale vijana walikuwa wanapolish nails 'umemuona mchumbaako ulietaka oa?'

Yule kijana akaanza kuongea akitoa data za idadi ya wanaume waliotembea na yule dada including him, mwisho aka conclude nakusema "Yule binti ni mzuri sana na hakuna mwanaume rijali ataemuona asimtamani au kumpenda, tatizo lake ni moja hata ukimpangia wanaume 100 na wote waende nae hatafika bado ataendelea kutafuta wengine. Umajua kwa nini? Bado anatafuta utamu maana hajawahi kuupata maishani mwake, na anafikiri kuna siku atampata mwanamume wa kunfanya apate huo utamu kitu ambacho hakipo"

Tukacheka sana bila kujua kijana anamaanisha nini. Akaendelea "Yule dada amekeketwa, na wanawake waliokeketwa feels nothing kwenye tendo la ndoa, hawapati utamu kabisaaa, huvyo mchumbaangu bado anafukuzia utamu"

Alizua mjadala mkubwa sana pale saloon nami nimeuamishia huku JF mnasemaje? Kuna uhalisia/ukwei juu ya hili?
 
Kwahiyo utamu mwanamke anaupata kwenye clitoris peke yake? hakuna g spot, kuta za ndani ya k, wala nyuma ya k? wala pale mlangoni?

Nafikiri hata kama amekeketwa anaona raha tu kama akimpata mtu anayempenda na kumkuna vizuri...ila akipata paparapapara chomekachomoa ondoka, hatakuja aone utamu huo hata siku moja...hili si jambo la kuuliza...

However, mimi siwezi kuoa wala kuwa na mwanamke aliyekeketwa, kwasababu huwa napenda kushikashika harage hata kama sifanyi naye tendo tumepumzika tu, kushikashika nako kuna raha yake mkipozi...you feel you are having a woman beside you....badae mnamalizia kabisa. nikishika na kuona kovu au hamna harage, hapo hamu inaisha mbona...

Mtaniwia radhi wanawake mliokeketwa mtakaosoma msg hii, nawapa pole...
 
Nimekuelewa Ubungoubungo na hoja yako.

Unataka kusema utamu upo pale pale whether huna harage siyo.

Suppose mwanamke aliyekeketwa anakutana na mwanaume wa jinsi yako kuwa hamu inakisha soon unapogundua amekeketwa, what does the situation implies kwa binti? Maana yake utamu haupo tena, akiattempt mwanaume mwingine the same applied. Huoni hii inaeza kuwa sababu?

Kwamba wanakuwa na matumaini ya kupata wanaume watakao wapenda jinsi walivyo but the result is different?
 
ok, ukweli ni kwamba, mwanamke aliyekeketwa, anakuwa na kasoro kubwa kwasababu pamoja na kwamba atapata utamu,....utamu mkubwa kuliko wote katika tendo huchangiwa sana na clitoris....hivyo akiondolewa icho anakuwa amepunguza asilimia fulani ya kuenjoy...cha msingi ni kwamba sio kweli kwamba hata pata kabisa utamu...atapata lakini hautafikia wa yule ambaye ana harage....
 
Kwa hali hii, inabidi makabila yanayofanya hivi yapate elimu kuhusu haya maswala na kuacha kabisa na tamaduni hii.

Maana si tu kuzalilisha wakina mama bai pia inafanya wakose vungi na kujiweka ktk hatar ya maambukizi
 
Kwani anatomically clitoris ni sawa na kitu gani kwa mwanaume? Na je, hao mnaosema kuna g spot ! Huwa inapatikana wapi? Binafsi ninampango wa kumpotezea mwl m1 kwa7bu hiyo. Ukweli ni kwamba clitoris ndio kila ki2, kama mwanaume huna kichwa, hilo bao linatoka wapi?? Ctakuja kuoa mke wa hivyo kamwe.
 
Kweli kabisa ina kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke aliye keketwa kuridhika!

Kwa sababu harage lina changia sana katika furaha ya tendo kwa mwanamke ni wazi kabisa linapo ondolewa hushindwa kufurahia tendo na kuridhika!
 
Ruttashobolwa, KOKUTONA hakuna mwanamke asiyeridhika, maana ya mshindo (orgasm) ni nini? aondolewe asiondolewe wewe piga kunyanzi au Kanchabali au kater*** atafika mwisho, sisi huku ugogoni ndio wameenguliwa vyote lakini ukimpiga kat**** anafika na kesho anakuja ndio tuseme hajatosheka? au kanogewa
KOKUTONA huyo bint akiolewa atatulia tu ni watu wanamuonea wivu.
Mbona kuna mastaa wa kike wa hapa tanzania wanabadili hawanasifiwa kwa hiyo huyo Dada anatafuta umaarufu na mtakapomuona na Hummer mtanyamaza
 
Wanapata uatamu na orgasm inapatikana inategemea na ufanyaji wako,mbona wapo wanawake kibao ambao hawajakeketwa na still hawapati orgasm kutokana na mfanyaji kutojua jinsi ya kumfikisha?
 
Kwani anatomically clitoris ni sawa na kitu gani kwa mwanaume? Na je, hao mnaosema kuna g spot ! Huwa inapatikana wapi? Binafsi ninampango wa kumpotezea mwl m1 kwa7bu hiyo. Ukweli ni kwamba clitoris ndio kila ki2, kama mwanaume huna kichwa, hilo bao linatoka wapi?? Ctakuja kuoa mke wa hivyo kamwe.

Kwa maswali yako kimweri Jr tunarudi kule kule kwa mkaka aliyekuwa anapolish nails saloon kwamba mdada aliye keketwa ana disadvantege kubwa kwamba she can never satisfied a man and she can nevew be satisfied.

Sasa je tunawasaidiajie sbb wako ktkt janga tayari?

Na je kwel haijawah kutokea mwanaume akampata mwanamke aliye keketwa akafurahia tendo na kumpenda ki kweli kweli ktk ulimwengu huu wa mapenzi?
 
hii mada imenipa kitu kichwani kwani kuna mdada niliwahi kuwa naye, ckujua mpaka nasoma hii post,kile kiharage kilikuwa kama cha mtoto, alomost hakipo, alafu nilikuwa naogelea thou nina...ya uhakika,then alikuwa haoneshi kama na feeliong kivile thou ali wet kama kawa lakini ...alikuwa tu kama ananickilizia nimalize....nadhani naye kakeketwa, sasa nimejua

mdada aliye keketwa ingia hapa utupe uzoefu
 
Kweli kabisa ina kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke aliye keketwa kuridhika!

Kwa sababu harage lina changia sana katika furaha ya tendo kwa mwanamke ni wazi kabisa linapo ondolewa hushindwa kufurahia tendo na kuridhika!

Wanasaidiwaje sasa? What is plan B for them?
 
Jf kuna walimu sijapata ona, mimi sina hilo harage na situmii tigo na raha napata. au walibakiza kipisi wakati wananikata? teh teh

awp we need you utupe more of you, na pengine kuwasaidia wengine wenye negative mentality ktk. As you have said unakuwa satisfied though umekeketwa, what about your partner? Is he happy with you?Anafika na raha anapata? Any comment from him about you?
 
Back
Top Bottom