Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

plan ya mangariba ilikuwa kuwafanya wasiwe na hamu.....walichosahau ni kuwa wanaweza wasifike utamuni mpaka warest in pis....wakawafanya dada zetu kama chombo cha kumfufarisha mwanaume na kuzaaaa....... adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe......hakuna ngariba dume........pale panakuwa na kama kovu fulani hivi ... ile harage ndo kodineta ya utamu, ukinyumbulishwa na nje ndani,,,, ulimi ukapitia pale...hakika wenye harage wanaelewa nisemacho.... na wanahangaika wakitafuta mwanaume wa kumfikisha.......hawapati ng'ooo.....wajikubali maisha yasonge.
Ni tatizo la Mangariba kutokujua,walisahau au hawakujua kuwa kuna kitu inaitwa G-sport,mwanamke aliyekeketwa akimpata mwanaume aliyetulia vizuri huwa wanafika kileleni bila matatizo kama wanawake wengine ingawa kwa case ya cannilingus kwao inakuwa ngumu kidogo kwani ile kitu iko ndani kidogo.
 
plan ya mangariba ilikuwa kuwafanya wasiwe na hamu.....walichosahau ni kuwa wanaweza wasifike utamuni mpaka warest in pis....wakawafanya dada zetu kama chombo cha kumfufarisha mwanaume na kuzaaaa....... adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe......hakuna ngariba dume........pale panakuwa na kama kovu fulani hivi ... ile harage ndo kodineta ya utamu, ukinyumbulishwa na nje ndani,,,, ulimi ukapitia pale...hakika wenye harage wanaelewa nisemacho.... na wanahangaika wakitafuta mwanaume wa kumfikisha.......hawapati ng'ooo.....wajikubali maisha yasonge.
Inasikitisha kwakweli
 
Tunahitaji mwanamke aliyepitia maisha ya mapenzi kwa kiasi cha kutosha kabla ya kukeketwa, na baada ya kukeketwa atupe mabadiliko ya hisia zake....! Vinginevyo; this will remain a guess...!
 
Wale wanaowafanyia hvyo wanawake wenzetu n ukatili sana
Kuna mmja tunae ofisi moja na yy alipata staff mwenzetu akaja na stry km hyo anakadai nlisugua hadi nkaamua kutoroka demu hafikii tu,hyo ktu ina utamu wake jaman
 
Ukapotelea wapi wewe kiumbe wa maulana? Tafadhali Ni-beep (usipige ma'watoto yupo na ana gubu balaa)
Ili tupashe 'kiporo' chetu. Teh.
Teh teh teh!
Nikumbushe kwanza hicho kiporo ni cha makandeee, ubwabwaaaa, pilauuuu au ndiziiii?
 
Back
Top Bottom