Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,506
51,111
Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi vijana shababi wa Hamas walivyokuwa wakimtreat kwa ubinafamu mkubwa sana, wakimpa dawa zake anazohitaji pamoja ba chakula. Na kumuweka katika mazingira yasiyo ba hofu yoyote.

Leo imeibuka barua ya mwanamama mwengine wa Kiyahudi aliyeandika barua ya shukurani kwa HAMAS jinsi walivyomtreat vizuri yeye na mwanae, akasema kuwa mwanae mdogo wakati yuko Gaza alikuwa akijifeel kama Malkia. Alikuwa akicheza na wanaHAMAS, na walikuwa kama Wazazi kwake.

Mama huyo akamalixia barua yake kwa kusema kuwa anatarajia kuwa urafiki baina ya HAMAS na yeye utaendelea siku zijazo.

Hii ni uthibitisho kuwa lengo la HAMAS la october 7 ilikuwa siyo kuua waisrael, bali kuwachukua kama ambavyo Israel nayo imekuwa ikichukua maelfu ya watoto wa kipalestina na kuwarundika katika jela za Israel kinyume cha sheria. HAMAS iliwachukua hawa ili wabadilishane mateka. Ila Inavyoonekana jeshi la Israel liliovereact kwenye kudeal na HAMAS na hivyo askari wa IDF kuua Wenzao kwa wingi hiyo tarehe 7, October.

All in all, kama Israel itaendelea kuwaoccupy wapalestina, nao watatafuta namna ya kuwa HURU, na haya mambo yataendelea. Solution ni Wapalestina wapewe uhuru wao wa kujitawala bika kufanyiwa ukatili na unyama na Waisrael.

Barua hii hapa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=jHrbdl9mk0E
 
Naunga mkono hoja:

Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa

Cc: FaizaFoxy
 
Niliiona hili lkn nilishindwa kusoma kiyahudi
 
Habari ikiletwa na Muislam usiiamini haswa za namna hiyo mafundishi ya mtume wao kawaambia kuwa Allah kawarushu kuongopa ili kupotosha ndio mjue Allah anafanya kazi kumzidi Shetani uongo katika uislam sio dhambi
 
Haijalishi, kichapo kipo pale palee...mpaka magaidi yote yatoweke Gaza!.
Unaoinesha hata unaloliongea hulifaha, kichapo kachezea nani? Wagonjwa watto na wazee. Ulimuona hata kijana mmoja wa Hamas?

Leo ndiyo wameonesha maajabu mengine wapiganaji wa Hamas, unayajuwa?
 
Back
Top Bottom