Mwanajf gani aliyekukera humu jf mwaka huu??

2) Mimi nimefundisha Kiingereza Uingereza, hilo nimesema na huo ni ukweli. Lakini hakuna mahali nimesema "hakuna member anaeniweza kwenye English" thibitisha hilo au omba msamaha kwa kuzuwa. 3) sera zangu zilizopitwa na wakati wewe zinakuuma nini? Fata zako, nilikulazimisha uwe mfuasi wangu? Unanchekesha, 4) ukinitukana tena nta report ule ban nyingine. "asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu".
na usieridhishwa na mumeo???
 
AlhamduliLlah, kwa sasa unaweza nikuta JF anytime I feel like it na simuibii yoyote, ni mali yangu ya halali yangu na nnaitumia kwa raha zangu.
WE ULIYEMKUTA AKITUMIA MUDA WA KAZI KUCHAT JF NI NANI? TOA USHAHIDI AU UNAONA WEWE TU NDO UNAYEWEZA KU2MIA UWEZO WAKO WENGINE HAWANA UWEZO WA KUCHAT JF BILA KUIBA MUDA WA OFISI? Kweli ushamba mzigo
 
ananikera sana PAW maana kila mara ananipiga ban...na invisible nikimpigia simu siku hizi hapokei...ananikera ka nini
 
Mimi nimekerwa na wale wote ambao wanajua JF inaendeshwa kwa pesa na haina vyanzo vya mapato vya kuaminika lakini hawataki kuchangia.
 
Wanaonikera ni wote wale ambao wanaacha kazi zao muda wa kazi na kuingia JF hao ni wizi wa muda wa kazi na wizi wa mali ya sehemu wanayofanyia kazi. Kuiba ni kuiba iwe muda, ma Gb's mnayoyatumia bure.

Halafu wao ndio wa kwanza kujidai fulani fisadi, fulani fisadi, wakati wao ni mafisadi wa kwanza kuhujumu mali za sehemu zao za kazi.

Ikiwa unaiba masaa mawili ya kazini kila siku kwa kuingia JF ina maana umeshaiba zaidi ya masaa 40 kwa mwezi, hizo ni fedha ngapi kwa mwaka? Mbali ya ma gb uliyotumia. Halafu mnalalamika mishahara haipandi.
roger that madam.....
 
JF burudani mpaka neno "anayenikera" imekuwa burudani kweli kweli kwangu, enhee kero zingine...tuendelee...!
 
Mimi nimekerwa na wale wote ambao wanajua JF inaendeshwa kwa pesa na haina vyanzo vya mapato vya kuaminika lakini hawataki kuchangia.
Hongera! mwenzetu umechangia ngapi mwaka huu? au Mods wamesahau kukuwekea chata lako
 
Wale wote wanaoonea wivu wenzao wanaoingia JF na kujimwaga wakati wote, mimi wananikera sanaaaaaaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom