Mwanajf gani aliyekukera humu jf mwaka huu??

Kama sehemu ni yangu je? Naibaje muda wa kazi kama naamua mwenyewe nini cha kufanya na wakati gani?

Umeshasema ni yako, hii imewalenga waajiriwa wanotumia muda walioajiriwa na vitendea kazi walivyopewa na waajiri wao.

Hata mimi natumia yangu niliyochumia juani, sasa nailia kivulini. AlhamduliLlah
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sio wote wenye kazi km ya kwako, hata ukiona tumeingia kwenye JF ujue muda ndo unaruhusu.
Mafisadi wapo kweli dadaangu na mishahara km haipandi Tz haipandi tu kisingizio sio JF.

Nna uhakika si wote wanaibia sehemu za kazi. Hii imewalenga wale wanaofanya ufisadi wa muda na uhujumu wa kwa waajiri wao na wao wanajijuwa wanaposoma hili

Kuna mfanya kazi nnaemjuwa, huingia JF lakini nna uhakika anaingia kwa muda wake na si wa kazini kwake na anatumia laptop na mtandao wake binafsi na si wa alipoajiriwa. Na nna uhakika wapo wengi. Na pia kuna wanafunzi ambao wana vi laptop vyao na wana save matumizi yao na kujiingilia humu na kwingine kwa jasho lao. Hao wote nawapongeza.

Hapa wanaohujumu wanajijuwa na hao ndio wananikera. Na anaekasirika ni yeye huyo.
 
Unataka ujue walo tukera umekuwa mwanasiasa?
Wanasiasa ndo huwa wanataka kero zetu ili wapange propaganda ya kutudanganya.
 
Wanaonikera ni wote wale ambao wanaacha kazi zao muda wa kazi na kuingia JF hao ni wizi wa muda wa kazi na wizi wa mali ya sehemu wanayofanyia kazi. Kuiba ni kuiba iwe muda, ma Gb's mnayoyatumia bure.

Halafu wao ndio wa kwanza kujidai fulani fisadi, fulani fisadi, wakati wao ni mafisadi wa kwanza kuhujumu mali za sehemu zao za kazi.

Ikiwa unaiba masaa mawili ya kazini kila siku kwa kuingia JF ina maana umeshaiba zaidi ya masaa 40 kwa mwezi, hizo ni fedha ngapi kwa mwaka? Mbali ya ma gb uliyotumia. Halafu mnalalamika mishahara haipandi.

ulipost saa mbili na dk 50 muda wa kazi.........
 
FF, kama kuna watu wanaspend time kubwa JF wewe u mmoja wao...

i think inategemea sana mtu anafanya kazi gani... tuna vijana wengi sana kwenye customer srvices (makampuni ya simu) ambao wao ni desktop na hutegemea calls... so they could use that ample time, wengine wako kwenye networks na wengine hawana kazi kabisa. bia kuna members humu ajira zao ni JF full time na kuna watu wanawalipa.....

BTW, kuna wakati (karibia 6 months) you enjoyed being JF full time and you even posted over 120 posts in a day

Good point though
 
Duh, Kaazi kwelikweli...
ngoja niende jukwaa la kimbweka mimi!
 
Wanaonikera ni wale ambao unamtumia PM halafu yeye anachukua zaidi ya siku mbili kukujibu. Wapuuzi wakubwa watu wenye mapozi ya kiboyaboya.
 
Mimi wanaonikera ni wale wote ambao badala ya kumkaribisha mgeni vizuri wao wanaanza kumfanisha na wenyeji. Mara utasikia oooh sijui hii ni ID yako ya ngapi? Mara sijui ile nyingine imepigwa ban? Ina maana hamtaki wageni humu ndani? Hao tu ndio wanaonikera.

Mwita nashukuru sana kwa kunichekesha. Haya niongeze kwenye list ya wanaokukera.
 
Tatizo mikono yake migumu jamani
Utadhani stili waya
ngoja niende nikavumilie tu

@Rejao, usiponisema hurudhiki, pole kile kitoto kimekuibia smile wako

Kongosho vipi tena mbona unavujisha siri? tuna ugomvi mimi na wewe?
 
Yaani wewe! Mateka akienda kubadilisha damu tu kama sio unabadili jinsia basi unaenda kuombewa kwa vibration mode!
Tatizo mikono yake migumu jamani
Utadhani stili waya
ngoja niende nikavumilie tu

@Rejao, usiponisema hurudhiki, pole kile kitoto kimekuibia smile wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom