Mwanajf gani aliyekukera humu jf mwaka huu??

hehehe sikutegemea kama NN unalijua hili neno.

Kwa nini nisilijue wakati limo katika msamiati wa Kiswahili sanifu. Unamdharau Ngabu eeh?

Nina tajiriba mahuluti inayonipa uwezo (fursa) wa kuongea na kuandika lugha kadhaa kwa ufanisi na ufasaha wa hali ya juu. Kama hiyo haitoshi, pia ni mtaalamu wa isimu. Isimu matumizi na isimu elekezi.

Niendelee?
 
Kwa nini nisilijue wakati limo katika msamiati wa Kiswahili sanifu. Unamdharau Ngabu eeh?

Nina tajiriba mahuluti inayonipa uwezo wa kuongea na kuandika lugha kadhaa kwa ufanisi wa hali ya juu. Kama hiyo haitoshi, pia ni mtaalamu wa isimu. Isimu matumizi na isimu elekezi.

Niendelee?

hapana siwezi kukudharau,nakuheshimu sana.
 
mimi hakuna aliyeniboa kiasi cha kumtundika hapa ila nimekuwa obsessed by Mr Roky......kila nikiona hyo avatar mie mwenzenu nguvu sina, kwa mwaka huu mzima hyo avatar imekuwa ikinisumbua sana naomba nikiri leo
 
Wanaonikera ni wote wale ambao wanaacha kazi zao muda wa kazi na kuingia JF hao ni wizi wa muda wa kazi na wizi wa mali ya sehemu wanayofanyia kazi. Kuiba ni kuiba iwe muda, ma Gb's mnayoyatumia bure.

Halafu wao ndio wa kwanza kujidai fulani fisadi, fulani fisadi, wakati wao ni mafisadi wa kwanza kuhujumu mali za sehemu zao za kazi.

Ikiwa unaiba masaa mawili ya kazini kila siku kwa kuingia JF ina maana umeshaiba zaidi ya masaa 40 kwa mwezi, hizo ni fedha ngapi kwa mwaka? Mbali ya ma gb uliyotumia. Halafu mnalalamika mishahara haipandi.
hujambo Faiza?
 
ngoja nilale maana na haya mahenken naweza nitoe oroza feki ya wanao nikera.Ila kusema kweli kesho kuna mtu nitamtaja kanichukulia bibi yangu niliyempata jf humu humu.nite nite!
 
mimi hakuna aliyeniboa kiasi cha kumtundika hapa ila nimekuwa obsessed by Mr Roky......kila nikiona hyo avatar mie mwenzenu nguvu sina, kwa mwaka huu mzima hyo avatar imekuwa ikinisumbua sana naomba nikiri leo
Mr Rocky,what a beautiful way to end a year! Hongera mkuu,mtoto mashallah roho yake imekudondokea!
 
Chonde, chondeeee kaa mbaliiiiiiiiiiiii.......shauri yako!
 
Mr Rocky,what a beautiful way to end a year! Hongera mkuu,mtoto mashallah roho yake imekudondokea!

Bishanga habari ya asubuhi?? Naona unanitafuta ugomvi mapema yote hiii tafadhali msiniharibie siku. Muacheni laaziz wangu pliiiiiz
 
YANI WEWE NDO NAKUCHUKIA NA SBB 1. UNAONA MEMBER WENZIO HAWAJUI WE NDO MJUAJI NA MWENYE HAKI, udhibitisho huo hapo juu 2. Unajishebedua sn kwa kujidai hakuna member anayekuweza kwenye english eti wewe ulikua mwalimu english uingereza wakati unaandikaga broken english mara kibao 3. Unasera zilizopitwa na wakati 4. ULINISABISHIA BAN NA HADI LEO NIKO KWENYE BAN bila sbb ya msingi.*~'* I hate you old woman

2) Mimi nimefundisha Kiingereza Uingereza, hilo nimesema na huo ni ukweli. Lakini hakuna mahali nimesema "hakuna member anaeniweza kwenye English" thibitisha hilo au omba msamaha kwa kuzuwa.

3) sera zangu zilizopitwa na wakati wewe zinakuuma nini? Fata zako, nilikulazimisha uwe mfuasi wangu? Unanchekesha,

4) ukinitukana tena nta report ule ban nyingine. "asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom