Mwanajeshi JKT akamatwa na gunia 12 ya bangi moro

Kweli TZ inakoelekea ni kubaya maana walim walijaribu kuuza maandazi na vitumbua na wameshindwa kutoka kabisa mwishowe watajashika mitutu na kuwa majambazi. Pia sitoshangaa siku kusikia hawa wanajeshi na police ndo majambazi wanaotuvamia mtaani
Eli, kuna mwanafasihi mmoja wa afrika magharibi(jina simkumbuki) aliwahi kuandika katika kitabu chake ambayo ni hadithi kuhusu nchi iliyoendekeza ufisadi na rushwa mpaka ikafikia kiwango ambacho wanajeshi wanatoroka kambini wanaingia barabarani na kusimamisha magari na kudai rushwa kwa madereva mithili ya matrafiki, naamini Tanzania tutafikia huko.
 
khaaaaa kumbe ulikuwa hujui
wengi wao wanakamata
hiyo maneno vibaya sana
ndo wapate roho za nyoka
na ndo mana mitaani
wanamatata saaana
af si wao tu
watu wengi wanakula majani
maana hakieleweki
unakomaa na kazi weee
mwisho wa siku
hakieleweki sasa usikamate msuba
mchezo

Kumbe kwata bila ganja haliendi hee!
 
Eli, kuna mwanafasihi mmoja wa afrika magharibi(jina simkumbuki) aliwahi kuandika katika kitabu chake ambayo ni hadithi kuhusu nchi iliyoendekeza ufisadi na rushwa mpaka ikafikia kiwango ambacho wanajeshi wanatoroka kambini wanaingia barabarani na kusimamisha magari na kudai rushwa kwa madereva mithili ya matrafiki, naamini Tanzania tutafikia huko.

Na tukifikia huko Tz patakuwa hapakaliki
 
khaaaaa kumbe ulikuwa hujui
wengi wao wanakamata
hiyo maneno vibaya sana
ndo wapate roho za nyoka
na ndo mana mitaani
wanamatata saaana
af si wao tu
watu wengi wanakula majani
maana hakieleweki
unakomaa na kazi weee
mwisho wa siku
hakieleweki sasa usikamate msuba
mchezo

Kwani ganja inaondoa mawazo?
 
Kwani ganja inaondoa mawazo?

ganja is the catalyst which speed up the rate of chemical reaction, but remain unchanged at the end of reaction! Ganja ni kitu kimoja kizuri sana ni kama starter fulani, ganja pia inaleta misimamo ganja inaleta kufanya maamuzi kwa ghafla... Ukila weed kichwa kinakuwa safi sana!
 
Du inaelekea unaitumia mkuu maana unavyoisifia utadhani chakula ila madhara yake ni makubwa sana ambayo yatakugarimu the rest of ur life
 
Kwani huyo jamaa ndo mhalifu pekee wa kutushitukiza kwenye hii nchi yetu? Mbona wanaotuibia kwa rushwa na ufisadi wanapeta tu. Hawaguswi na mtu yoyote. Unafiki utatufikisha wapi?

nimependa mchango wako,maisha kupanda ni kwa wanasiasa tu..kwa wengine hapana....
 
Back
Top Bottom