Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
13,053
15,504
Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".

Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kwamba Manahel al-Otaibi alihukumiwa kwenda jela tarehe 9 Januari kwa kile serikali ya Saudi iliita "makosa ya kigaidi".

Saudi Arabia activist sentenced to 11 years in prison for ‘support’ of women’s rights
 
Mb

Mbona miaka michache sana kafungwa?
Matatizo mengi duniani yameletwa kwa mwanamke kua huru
 
NA usiombe mke wako akawa na urafiki na single mother ,atafanya kila hila kuonyesha kwamba mume wako hafai ili amtoe mwenzake kwenye ndoa, ni washenzi sana
Unakuta mtu ameachika, then anakuja kwako anataka mapenzi ya dhati. Hivi utayatoa wapi umpe?
Aliyempenda kwa dhati hadi akamuweka ndani hakumthamini sembuse Mimi.

Wewe ukiachika, au ukiwa single mother jipange kuliwa na kuachwa.

Hakuna tena kuanza 1 - 0 maisha hayaa.
 
Yaani huko wanawake hufanywa matahira fulani hivi, sema kuna yule mwana mfalme nilisoma sehemu ameanza kubadilisha hizi sera za uzombi......
Afrika bado ndio utakuta majitu yanaiga hadi kero

fb_img_1713868281980-jpg.2972336

cc: brazaj FaizaFoxy
 
Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".

Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kwamba Manahel al-Otaibi alihukumiwa kwenda jela tarehe 9 Januari kwa kile serikali ya Saudi iliita "makosa ya kigaidi".

Saudi Arabia activist sentenced to 11 years in prison for ‘support’ of women’s rights
Saudi wanatoa adhabu za kitoto huyu alitakiwa kupigwa hata miaka 30 harakati gani za kuruhusu usagaji.
 
Mb

Mbona miaka michache sana kafungwa?
Matatizo mengi duniani yameletwa kwa mwanamke kua huru
Sisi hatuwezi kukubali sheria za kipumbavu za kiarabu kwamba mwanamke awe tu ndani ya nyumba kama mtoto mchanga, mwanamke wa kiafrika lazima atoke nje naye asaidiane na mwanaume kuitafutia familia yao riziki.

Na mwanamke lazima ajipodoe aonekane mrembo na wanaume wasafishe macho kwa kumuona, huo ndio utamaduni wetu waafrika.
 
Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".

Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kwamba Manahel al-Otaibi alihukumiwa kwenda jela tarehe 9 Januari kwa kile serikali ya Saudi iliita "makosa ya kigaidi".

Saudi Arabia activist sentenced to 11 years in prison for ‘support’ of women’s rights
Aliyeleta hii dini atakuwa motoni
 
Huyo ni pandikizi la Marekani, anataka kuleta harakati zake za kifala. Kama anaona yupo mazingira ambayo hayamfai yeye aende huko Marekani akaishi na mashetani wenzake.
Waarabu wengi wanakimbilia huko kukwepa sheria za kipumbavu za karne ya saba hata wewe tu hapo ulipo ungependa sana kwenda kuzamia huko ila basi ni umaskini tu ndio maana huwezi kwenda.
 
Back
Top Bottom