Mwanahalisi akifa anakufa na CCM - okoa mwanahalisi ili CCM idumu

Si ndio maana wanasema ni upepo wa kisiasa. Mbinu walizokuwa wakizitumia kutudanganya zimepitwa na wakati mkuu. Wanatakiwa wabadilike sana. Si kwamba tunaichukia CCM bali tunachukia namna yao ya utendaji na hapo ndipo tutakapotafuta utendaji mpya popote pale

na kwa namna yoyote ile pamoja mkuu
 
Jamani serikali bado hamjafikiria kumrudisha mwana- harisi. kwa jambo la uchi kama hili la mauaji ya mwakilishi wa chanel 10 huko Iringa, Mwana angesha wapatia majina hadi namba za askali waliofanya hayo. Fanyeni hima kuliondolea kifungo
 
Back
Top Bottom