babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
Kwann transfomer zinakuwa rated in kVA instead of kW
log x² = x/25Swali la ivyo halipo
nifanye je ili nielew geographi nipo kidato cha sitaWakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Mkuu hili ni tango pori..logx^2=x/25
Consider R.H.S and introduce log10
logx^2=x/25log10.
but x/25=4x/100.
Hence,
logx^2=4x/100log10
logx^2=x/100log10^4.
logx^2=x/100log100^2.
By comparison between LHS and RHS
x^2=100^2.
x=100.
Or
1=x/100.
x=100.
log x² = x/25
2logx = x/25
log x = x/(25*2)
log x = x/50
(log x)/x = 1/50
x/x = log-¹ (1/50)
1 = log-¹ (1/50)
If x cancels out, you can't calculate its value...!
Soln
1 metre square = 1 metre × 1 metre
1000 metre square (underoot this)
Yuo get
31.62 as a metres
= 31.62metres
Hapo kwenye kulinganisha umelinganishaje.? X/100 umeipeleka wapi..? Hiyo inaitwa kufoji.logx^2=x/25
Consider R.H.S and introduce log10
logx^2=x/25log10.
but x/25=4x/100.
Hence,
logx^2=4x/100log10
logx^2=x/100log10^4.
logx^2=x/100log100^2.
By comparison between LHS and RHS
x^2=100^2.
x=100.
Or
1=x/100.
x=100.
Mkuu nimetokea hapa.Hapo kwenye kulinganisha umelinganishaje.? X/100 umeipeleka wapi..? Hiyo inaitwa kufoji.
Mkuu nimetokea hapa.
logx^2=x/100log100^2.
si ni sawa na kuandika
(1)logx^2=(x/100)log100^2.
halafu
1=x/100.
Hapo vp?
Ok nashukuru kwa ufafaniziUlichokifanya hapo si sahihi kihisabati, Na katika kanuni za logarithms hakuna kanunu kama hiyo. Hapo umefoji, ingawaje jibu lipo sawa lakini njia si sahihi.
Ndo umethibitisha hapo....Mkuu Umenikumbusha enzi za Sekondari.
Naomba ufanye wewe tuone jibu lako na njiaKatika principles za dimensions huwezi linganisha hivyo vitu. Huwezi sema 1000sqm ni sawa na 31.62 m sababu hazilingani maana moja ni eneo na ngingine ni urefu. So umekosa.