mwanafunzi wa tumaini university amejinyonga

Mtihani kwa kweli, hatujui mwenzetu amefikwa na nini.
Ni kuomba tu Mungu atuepushie na masaibu km haya
 
Tena kigumu kukitegua.......

....hasa kinapokuwa ni kitendawili cha mapenzi......mapenzi yanauwa acheni masihara..
Lakini inawezekana maisha yamemuendea hivyo sivyo....sababu zinaweza kuwa nyingi na hakupata muda wa kumshirikisha mtu wake wa karibu kwa ushauri na msaada.
 
Ni tatizo la kuishi kwenye tamthilia + Bongo movies, kwa kudhani maisha ni mapenzi everywhere you go, unasahau kuwa kuna FC Barcelona vs Bilbao leo jioni, unasau kuna mihogo mitamu kwa Mama Mlokole...
 
Back
Top Bottom