Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,875
- 1,312
Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo sehemu gani.
Nimetafuta sijaona, ni kama ametemwa kila mahali. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2010.
Ni kweli tumefika mahali ambapo msichana aliyejituma katika sayansi na kupata Physics D, Chemistry C na Math C anatupwa?.
Kulikoni wizara ya Elimu? Hakika tunawakatisha tamaa!
Matokeo yake ni:

S0586/0007 | F | AQUILINA FELCIAN GERVASE | 26 | IV | CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-C BIO-F AGRI-D B/MATH-C |