Mwanafunzi huyu tunamsaidiaje?

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,872
1,312
Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo sehemu gani.
Nimetafuta sijaona, ni kama ametemwa kila mahali. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2010.
Ni kweli tumefika mahali ambapo msichana aliyejituma katika sayansi na kupata Physics D, Chemistry C na Math C anatupwa?.
Kulikoni wizara ya Elimu? Hakika tunawakatisha tamaa!
Matokeo yake ni:

S0586/0007FAQUILINA FELCIAN GERVASE26IVCIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-C BIO-F AGRI-D B/MATH-C

Nadhani tatizo hapo wakiangalia hiyo Div IV hawaendelei tena kuangalia matokeo ya somo moja moja...mshauri tu a're-seat' physics apate angalau C ili aweze kuapply PCM (CCC) kwa A level.

Pole yake huyo kijana. hila naona anaweza pata nafasi ya ualimu kama vp msaidie haweze pata ualimu kama mm simshauri kurisiti tena kwan itamuwia vigumu tena na badala yake itamkatisha tamaa badae. Msaidie kwanama yeyote kwan ndotaifa laleo mzazi.

Asante sana kwa ushauri wako; ila kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni kazi kweli kweli.
Kama ulivyosema inaonekana wanaangalia div then hawaendelei, lakini in so doing tunawapoteza wataalamu. Pia nadhani selection ya kwenda formV ina walakini; nimeona mahali mwanafunzi amechaguliwa kusomea HKL ya CDC, badala ya PCB ya DBC. Inawezekana kijana kama huyu alichagua arts, lakini nadhani iitakiwa iwemo system ya kuwaencourage kuchukua sayansi!

Asante sana. Hakuchaguliwa kwenda vyuo vya ualimu na mzazi hana tena uwezo wa kumlipia vyuo vya binafsi, Kama uivyosema kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni vigumu.
Kijana tayari ameshakuwa frustrated maana wenye arts CDC wamekwenda form V kwa kuwa walikuwa na Div III lakini yeye aliye-specialise ameambulia patupu - Inasikitisha

mimi nimpe pole huyu dada!na nakubali kuwa systerm yetu sio nzuri maana kwa matokeo hazo tena kwa mtoto wa kike,huyo dada ni mkali wa hesabu.Na kuhusu ualimu kama hakuomba kwa barua ni vigumu kufikiriwa.namshausi asubiri mwaka kesho aombe vyuo mbalimbali km vya ualimu,kilimo,na mifugo.pia ipo programme chuo cha ufundi Asusha,nafikiri pia dar na mbeya(technical colleges.) special kwa ajili ya wanawake wa namna hi na wanapata sponsorship.fanya ufatiliaji wa hili.

Hvi kwan dv 4 c m2 anakua kakosa sifa za kuchaguliwa kwenda 4m 5!

Kuna waziri mmoja aliwahi kupendekeza, eti Mwanafunzi anayepata Div 4 asipewe Cheti.

Binafsi nilimshangaa sana huyo Waziri kwani mwanafunzi anaweza pata Div 4 ya pointi 26 lakini ana alama B tatu. Je, hii siyo Div 4? Je, utamuacha mwanafunzi huyu kisa tu ana Div 4?

Wizara haiko FAIR kwa hili wanapaswa kuangalia Credit kwenye Combinations na-siyo Division! Binafsi niliwahi kusoma na jamaa (Tosa) waliopata PHYSICS-C , CHEMISTRY-C, MATH-D au kisa walikuwa na Div 3 hadi Div 1? Halafu wanadai kusisitiza watoto wa kike wasome masomo ya Sayansi je, kwa hali hii watasoma?

Hivi humu ndani ya Jamvi hatuwezi msaidia binti huyu ili aende Private School?

Kwa mfumo ulivyo sasahv...huyu mwanafunzi haendi kokote kwasababu ili uende F V unatakiwa uwe na credit 3 sasa hapo juu mwanafunzi ana credit 2...Ni vyema mfumo ukabadilika ili kuwezesha wengi kupata nafasi

mimi nimpe pole huyu dada!na nakubali kuwa systerm yetu sio nzuri maana kwa matokeo hazo tena kwa mtoto wa kike,huyo dada ni mkali wa hesabu.Na kuhusu ualimu kama hakuomba kwa barua ni vigumu kufikiriwa.namshausi asubiri mwaka kesho aombe vyuo mbalimbali km vya ualimu,kilimo,na mifugo.pia ipo programme chuo cha ufundi Asusha,nafikiri pia dar na mbeya(technical colleges.) special kwa ajili ya wanawake wa namna hi na wanapata sponsorship.fanya ufatiliaji wa hili.
Asante sana kwa ushauri. Nitafuatilia huko arusha tech maana nina jamaa yuko kule arusha.Thanks for this idea

Kama alivyoshauri mchangiaji mwingine ni bora umsaidie (binti) na wazazi wake kwa kumtafutia chuo, kama cha Ellimu au Technical College. Kama wazazi wake wapo kijijini na hawana msaada mwingine isipokuwa wewe nahisi itabidi ujiangalie unaweza jikuna mpaka wapi. Yaani kama unaweza msaidia akaenda chuo cha ufundi kama vile Arusha au Dar, then fanya hivyo, kama nawe hali yako si nzuri sana au una wengi wa kuwasaidia basi chuo cha Elimu huwa hakiongopi, na atakapomaliza ataweza bado kujiendeleza mwenyewe hadi atakapoamua kuishia.

Hvi kwan dv 4 c m2 anakua kakosa sifa za kuchaguliwa kwenda 4m 5!
Inawezekana ni hivyo ila hoja hapa ni kuwa je ni sahihi?, inatusadiaje?. Fikiria mwenye HKL (CDC) anaenda form V, halafu mwenye PCM (DCC) anatupwa! Tuache kulalamika kuwa hatuna wataalamu wa hesabu basi!
Mimi nadhani turudi kwenye mfumo wa zamani kabla ya hivi vya Divisons. Kabla ya hapo mwanafunzi aliweza kuchagua masomo hata manne tu na anayapasua kweli combination inakubali tayari anaenda form V lakini leo tunawalazimisha masomo saba halafu wanafanya vibaya tunalaumu. Tunataka wanafunzi wawe masters of eveyrthing?

mimi nimpe pole huyu dada!na nakubali kuwa systerm yetu sio nzuri maana kwa matokeo hazo tena kwa mtoto wa kike,huyo dada ni mkali wa hesabu.Na kuhusu ualimu kama hakuomba kwa barua ni vigumu kufikiriwa.namshausi asubiri mwaka kesho aombe vyuo mbalimbali km vya ualimu,kilimo,na mifugo.pia ipo programme chuo cha ufundi Asusha,nafikiri pia dar na mbeya(technical colleges.) special kwa ajili ya wanawake wa namna hi na wanapata sponsorship.fanya ufatiliaji wa hili.
Nashauri huyo mwanafunzi atafutiwe nafasi vyuo vya ufundi watamkubali,halafu anafurahisha anajua namba,na wanadi physics ilikuwa na matatizo.

Nawashukuruni sana kwa mawazo yenu. Nimeingia kwenye website ya arusha tech www.atc.ac.tz na kuwatumia e-mail, lakini hii ni wiki ya pili hakuna majibu, Nadhani hawasomi hizo mails. Kuna watu wanaendelea kuwasiliana na wizara ya elimu kuona kama anaweza kupata nafasi, na pia kuna mwingine amenieleza kuwa nifuatilie arusha tech kuanzia January mwakani; huwa kuna kozi maalum ya akina dada na iko govt sponsored kama baadhi mlivyonishauri.
Tuendelee kuwasiliana, nami nitawajulisha pale nitakapofikia. Asanteni sana

Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo sehemu gani.

Nimetafuta sijaona, ni kama ametemwa kila mahali. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2010.

Ni kweli tumefika mahali ambapo msichana aliyejituma katika sayansi na kupata Physics D, Chemistry C na Math C anatupwa?.

Kulikoni wizara ya Elimu? Hakika tunawakatisha tamaa!

Matokeo yake ni:

S0586/0007

F

AQUILINA FELCIAN GERVASE

26

IV

CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-C BIO-F AGRI-D B/MATH-C

mwambie achuke r.sleep aende chuo chochote cha serkal akaombe ualimu. LAZIMA APATE kwa ufaulu huo, hakuna mtu atakaye muacha. Mjinga huyo hajazaliwa, regardless hakuomba.

Asante sana kwa ushauri wako; ila kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni kazi kweli kweli.

Kama ulivyosema inaonekana wanaangalia div then hawaendelei, lakini in so doing tunawapoteza wataalamu. Pia nadhani selection ya kwenda formV ina walakini; nimeona mahali mwanafunzi amechaguliwa kusomea HKL ya CDC, badala ya PCB ya DBC. Inawezekana kijana kama huyu alichagua arts, lakini nadhani iitakiwa iwemo system ya kuwaencourage kuchukua sayansi!
angekuwa na C tatu angechaguliwa, usitake kulazimisha mambo bana.

nafikiria tatizo hapo ni hiyo dvsn 4. Na pia ht ukiangalia vgezo vya kujiunga form 5 ni credit 3 na kuendlea na hapo yeye hajafikisha ndio maana kaachwa... Kureseat cmshauri kwa hali ilivyo sasa, angeangalia mlango mwngne km ualimu n so on...

Mbona wengi mnamtetea huyo dogo wakati hajafikisha viwango?!
Sijui mnataka elimu ya tz iwe vipi sasa. Ameshindwa kupata c tatu atafute alternative sio kulalamika. Swala lipo clear kabisa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom