Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
========
UPDATES:
Dah asee yule mzee mchawi kama kijana wake wa bumbu.... asee duh, rip kijana