Mwanachama Mkongwe wa CCM na TANU ajiunga na CHADEMA

Mchangiaji Namaki amemtaja mgombea wa jimbo la Ngara kana Nuru Mpya kwa maendeleo ya Ngara. Nilitegemea atuambie baadae kuwa NURU MPYA IMEFIFIA. Baada ya kushindwa kuanza kampeni kutokana na matatizo ya afya ya muda mrefu ya Bw. Ntukamazina, tulitegemea wananchi wa Ngara kuambiwa ukweli juu ya afya yake. Ukweli ni kwamba kazi ya ubunge haiwezi tena hata kama CCM wanahaha kumpitisha huku wakikampeini kwa kuonyesha picha yake tu.

Aidha kashfa ya kutembea na mtoto mdogo wa Form I iliyotoka kwenye mtandao ni ya kweli. Jambo ambalo halikuelezwa ni kwamba mhanga wake huyo ni binti wa jirani yake waliosoma pamoja enzi za Middle school. Mimi nimefanya kazi chini yake pale Utumishi. Mwandiko ule haina shaka lolote kuwa ni wa kwake na haujabadilika tangu nimfahamu. Namba ya simu iliyowekwa ni ya kwake na imebadilika kuwa 0784. Si hayo tu, pale ofisini utumishi aliigeuza ofisi yake kuwa chumba cha kulala na wanawake na hata masekretari wake. Huyu ni FATAKI wa muda mrefu na ugonjwa wake wa mgongo unaweza kutokana na overuse!

Mpaka sasa wanaomtetea kwenye mtandao hawamjui na kama wanamjua, ni makuwadi wake. Tungependa ajitokeze hadharani na kukanusha kama yeye siye mwandishi wa barua ile kwa kabinti kale. Tayari sisi tumekwisha kupeleka mwandiko wa barua ile kwa wataalamu na wamelinganisha mwandiko na dokezo la ofisini aliloliandika kwa mkono wake. Hakuna shaka. Akanushe hadharani halafu tuuthibitishie umma. Tutatoa ushahidi zaidi wa vetendo vyake vichafu kwa watoto wa marafiki zake waliomwamini ikiwa ni pamoja na mwanajeshi ndugu yake aliyefariki na kumwachia kuangalia familia yake.
Hiyo ya kabinti ilitokea lini? Nina data nyingi za hao jamaa, si Nyambele wala Ntukamazina wote kazi yao ni kula wake za watu na vibinti vya watu, sijui wana pepo za ngono..tena za uzeeni. Huyo mwingine anajifanya kwenda kunywa bia kwa tuombe, kumbe kwenda kula mke wake, na jamaa linashangilia eti lina mteja mzuri anayeleta hela! Aibu kabisa! OK, maybe hayo tuyahold constant, ukweli ni kwamba upinzani Ngara bado, bora hata Ruhuza anawatia tumbo joto CCM, CHADEMA bora kufanya strategy nyingine, hivi wana hata ofisi?
 
We Nyambele wadanganye wasiokujua,Fitina zote za ngara wewe ndio mwasisi wake,ulipandikiza mamluki wawili ukiwa nyuma ya pazia kama kawaida yako,kwanza mmojawao ni shemeji yako nyuma ya pazia, wote wamegalagazwa na Nuru mpya kwa maendeleo ya ngara,nawatahadharisha chadema kwamab wewe hufai na una kadi za vyama mbalimbali na kote hukubaliki,unabisha kwamba wewe sio mwanzilishi wa nccr mageuzi??? wewe pamoja na akina mvungi, marando na Bagenda ndio waasisi na kadi yako ni namba 6 au 7 sikumbuki vizuri ni lini umerudisha hiyo kadi!!!kama kweli una ubavu jipime ni wapi umewahi kugombea hata ukatibu kata ukashinda? sasa jaribu ubunge uone utakavyoaibika kama enzi zile Duso ulipolizwa na JK!!
Waeleze watu pia TRA kwamba ulistaafishwa kwa manufaa ya umma, kwa skendo lukuki ikiwa pamoja na kuifanya TRA kama NGO yako,ukakimbilia mahakamani kuishtaki serikali na madai yako uchwala ukaishia kutupiwa vilago vyako na sufuria nje ya nyumba ya serikali uliokuwa unaishi pale oysterbay!!! wanangara wanayajua hayo si wanakuona kwenye vilabu vya pombe usiku kucha ukiwadanganya kwa kuipona serikali ya awamu ya nne kwa sababu ya chuki zako kwa JK toka enzi zenu chuo kikuu?
Ndoa ngapi zimekushinda? mke wa kwanza ulimvuruga mpaka akawa kichaa, wa pili amekuwa alcoholic wa kutupwa na kazi yake amefukuzwa na alikuwa msomi wa sheria aliyebobea kuliko wewe yote haya wa kulaumiwa ni wewe na wala huoni aibu na sasa umeenda Burundi wasipokujua na kuchukua bint wa watu amakamu ya mwanao umeoa tena na umeshazaa naye mtoto umri wa mwaka mmoja sasa! kweli unataka wanangara wakuamini eti uwe kiongozi wao au uwachagulie kiongozi,inaingia akilini kweli?
Bishop Nyamubi ameapa kuzunguka wilaya nzima kutangaza maovu yako ikiwa ni pamoja na kumtelekeza bint yake kipenzi anayekesha kwenye vilabu vya pombe kwa frustrations zako.
Tuache wanangara tujipange tuendelee wewe umekwisha, umechoka,huna maadili mema usituvuruge asialni!


Alikuwa hajafukuzwa, yeye mwenyewe ndiye aliyekwenda kumfukuzisha, imagine kufukuzisha kazi mwanamke uliyezaa naye mtoto...ni baada ya yule mama kuzua timbwili na huyo mwanamke wa kirundi mpya! Hata hivyo CCM nayo haina mpango, imeifanya Tanzania kama himaya, nchi ya kifalme ambayo imewekwa mfukoni na watu wachache! Ni aibu tupu!
 
Hivi ngoja niwaulize viongozi wa chama changu CHADEMA hivi kwani sisi CHADEMA ndio wapokea makapi ya CCM?,,,,,,,,,,,,,,MABERE MARANDO, SHIBUDA na sasa Mushegezi.............why?.............why?.............why?
 
Hivi ngoja niwaulize viongozi wa chama changu CHADEMA hivi kwani sisi CHADEMA ndio wapokea makapi ya CCM?,,,,,,,,,,,,,,MABERE MARANDO, SHIBUDA na sasa Mushegezi.............why?.............why?.............why?
Waulize kwanza wana sisi m watakwambia kwa nini wao kila leo upokea makapi toka Chadema!
 
Back
Top Bottom