Mwana kioo cha jamii mwaingine anaumwa Taarifa kwa Jk

bamwaiche

Member
Aug 30, 2011
50
8
Baba yetu JK mwanakioo cha jamii ndugu yetu Small Wangapa anumwa ambapo amepooza mguu. Kwa Taarifa hii tunaomba umsaidie naye kama ulivyomsaidia mwanakioo cha jamii ray c kwani naye badotunamhitaji na hasa ukizingatia mchango wake mkubwa alinao katika jamii ya watanzania kupitia sanaa yake ya maigizo.
 
atatuma sasa hivi watu wake kwenda kumchukua akakaenae ikulu hadi atakapopona. kikwete mtu wa watu.
 
Rais hana muda..yuko zake anabembea huko serengeti saa hzi.
 
Huu utani??? au uko serious???? Naipenda Tanzania kwa uhuru wa kutoa maoni hata kama ni kutia kidole jichoni kwa mkuu wa kaya na bado ukawa salama. Tusizoee sana hii kwani iko siku watachukua nchi chama chenu, na babu alivyo mkali, akitaniwa atanyonga mtu!!!
 
Huyu mzee siku nyingi sana sijampata hewani,kumbe anaumwa pole sana mzee... Na yule mke wake wa maigizo bi chau yuko wapi.?
 
Back
Top Bottom