Mwana JF, Dr. H. Kigwangala Live Bungeni!

Mtaniwia radhi bt huyu jamaa ni mnafiki.. Kwa jinc hii issue ilivyo hot angeanza nayo moja kwa moja.. Ameleta usanii akaja kuigusia wakati muda umeisha.. Nakumbuka amewahi kusema hapa siasa kwake ni game..
 
Back
Top Bottom