Dr Kigwangala: Nilipokuwa Waziri nilipewa Walinzi kutoka Ikulu sikuruhusiwa kutembea peke yangu. Nilitokea Kwenye Ripoti ya CAG kimakosa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,371
142,612
Dr Kigwangala amesema wakati wote alipokuwa Waziri alikuwa analindwa na Walinzi kutoka Ikulu na hakuruhusiwa kutembea peke yake

Kigwangala amesema ni makosa mawaziri kutokea Kwenye Ripoti ya CAG kwa sababu Waziri siyo Afisa masuhuli hata Yeye aliwekwa kimakosa

Dr Kigwangala amesema Ili kuthibitisha Yeye hakutumia Ndege za Tanapa kwenda kula bata na Wanawake waulizeni Walinzi wa Ikulu kwani wanaujua ukweli

Source Jambo TV
 
Kijana alikwenda haraka sana kama ilivyokuwa speed ya Governor, akasahau wapo magod father ambao wanaicheza draft.
 
Dr Kigwangala amesema wakati wote alipokuwa Waziri alikuwa analindwa na Walinzi kutoka Ikulu na hakuruhusiwa kutembea peke yake

Kigwangala amesema ni makosa mawaziri kutokea Kwenye Ripoti ya CAG kwa sababu Waziri siyo Afisa masuhuli hata Yeye aliwekwa kimakosa

Dr Kigwangala amesema Ili kuthibitisha Yeye hakutumia Ndege za Tanapa kwenda kula bata na Wanawake waulizeni Walinzi wa Ikulu kwani wanaujua ukweli

Source Jambo TV
hangover za wizara ya maliasili
 
Huyu jamaa naona kachanganyikiwa .....
Kwani lazima uwe waziri?....
 
Hivi Hamis Kigwangwala ana tatizo gani hapa nzega. Au tumkumbushe wakati anasoma muhimbili na kasabuvu alichokifanya UD? Haya mambo yaishe tunataka Tanzania mpya. 4R ya mother tusonge mbele. Ujinga waltz hawqtakiki tena. Tukafanye kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom