Mwana FA na J DEE

Sio kila aliye soma elimu imemsaidia wengine huenda shule kukua na kupunguza disturbance nyumbani huyu dogo anawezakuwa mojawapo. Hata hivyo mwana FA. Is lolote kwa JDEEE mama uko juu wanakupiga teke ni kama wanakuongezea mwendo upo juu sana hii takataka isikupotezee appetite

Hilo linawezekana kabisa, tatizo JF tunapenda sana kuhukumu bila kuangalia mambo kiupana zaidi. Katika show ya MwanaFA kuna vitu vikuu vifuatavyo:
1. Kilimanjaro Band (Wameanza mazoezi ya hii show pamoja August Mwaka jana na wakarekodi wimbo "Kama Zamani" maalumu kwa ajili hiyo mwezi Novemba mwaka jana.
2. Limited Seats (Ni show kwa ajili ya mashabiki 400 tu)
3. Inalenga kuleta mabadiliko katika medani ya muziki.

Tujaribu kufikiria kwa mapana zaidi katika hili. Swali la Haraka: Je bendi ambazo zitakuwa na maonyesho tarehe 31.05.2013 zitasitisha maonyesho yao katika kumsapoti JayDee?
 
Hv wakuu kila bendi yenye shoo tar 31 isitishe onyesho kwa sababu ya Jide? Na kila msanii asitishe kwa sababu ya Jide?
 
FA na JayDEe wamekuwa marafiki katika muziki siku mingi sana, na wote si wanatokea BHits??

Sasa kuna nini hapa???

Au ndio yaleeee walosema vinega na Benzi jekundu?

Puppy FA alishatoka B heats kitambo na jide hajawah kua b heats..
pia b heats inapotezwa sasa kwa7b mmliki wake(hermy b),n mmoja wa wakurugenzi wa times fm na alishirikiana na akina sugu kuandaa lile tamasha la vinega pale sayansi.
 
Last edited by a moderator:
Hv wakuu kila bendi yenye shoo tar 31 isitishe onyesho kwa sababu ya Jide? Na kila msanii asitishe kwa sababu ya Jide?

washabiki wa jide mna kazi....kwahio siku jide akipiga wengine wasipige muziki kisa wataonekana wametumwa....kama jide ni mkali akipiga watu watajaa tu.....
 
mwana FA ana washabiki wake, Jay dee naye ana mashabiki wake so sioni ya wao kutenganisha siku za show!!mbona kila wkiend bendi zote mjini zinapiga show na sisi tunachagua pa kwenda??
 
kusema washabiki jide hawezi kukosa kihiiivyo
ila kuna mwaka nilisema kuwa mimi simkubali mwana fa mkanichana ile mbaya

ay aliyaona mapema akaanza na sasa ni wa kimataifa.

mwana fa ni mswahili tu.
 
F.A mashabiki wake waliobaki ni watangazaji wa clouds tu!hana kipya ndo maana anatumia nguvu nyingi kutaka kurudisha jina!yale maneno ya Ruge ya kupokezana kijiti nadhani angemwambia MWANA F.A ampe kijiti mtu mwingine!....vijana wakali wanampa stress ndo maana anapanic!ngoma moja feauturing kijiji sijui man dojo sijui njenje!!!huko mbeleni atatoa kibao featuring TMK WANAUME,TIP TOP,MSONDO JAZZ BAND na KHADIJA KOPA....vijana wapya wana njaa yaan kama yeye kijiti ampe MENO MENGI SHETTA
 
ahahahhahhahahha huwa unanimaliza mbavu zangu na comments zako!ila hii kiboko!sas hapa najaribu kuimagine ngoma ikifanyiwa featuring na TMK,MSONDO,KHADIJA KOPA vipi akiongeza na BAHATI BUKUKU na DOGO MFAUME!
nimewaza tu!
 
mwanaFA bwana ndio maana haendelei..amebaki kujisifu ye ndio msanii aliyesoma sana hapa bongo,wasiosoma wamemuacha mbali.
 
F.A mashabiki wake waliobaki ni watangazaji wa clouds tu!hana kipya ndo maana anatumia nguvu nyingi kutaka kurudisha jina!yale maneno ya Ruge ya kupokezana kijiti nadhani angemwambia MWANA F.A ampe kijiti mtu mwingine!....vijana wakali wanampa stress ndo maana anapanic!ngoma moja feauturing kijiji sijui man dojo sijui njenje!!!huko mbeleni atatoa kibao featuring TMK WANAUME,TIP TOP,MSONDO JAZZ BAND na KHADIJA KOPA....vijana wapya wana njaa yaan kama yeye kijiti ampe MENO MENGI SHETTA

hahahahahahahahahahaha daaa Muuza Sura umenichekesha sana.
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahhahahha huwa unanimaliza mbavu zangu na comments zako!ila hii kiboko!sas hapa najaribu kuimagine ngoma ikifanyiwa featuring na TMK,MSONDO,KHADIJA KOPA vipi akiongeza na BAHATI BUKUKU na DOGO MFAUME!
nimewaza tu!

nimebak nacheka tu nami,jamaa ameanza vizuri ila hapo kati hadi mwisho kanisababisha nicheke
 
kusema washabiki jide hawezi kukosa kihiiivyo
ila kuna mwaka nilisema kuwa mimi simkubali mwana fa mkanichana ile mbaya

ay aliyaona mapema akaanza na sasa ni wa kimataifa.

mwana fa ni mswahili tu.

naamin wote watapata mashabiki na kupata rizki as usual,that meanz rizki anapanga Mwenyezimungu
 
Leo kwenye XXL ya clouds nimemsikia mwana FA akitangaza shoo yake itakayofanyika trh 31 maeneo ya makumbusho kwa kumbukumbu zangu siku hiyo nayo Ladyjdee atafanya shoo yake nyumbani lounge ya kufikisha miaka 13 ya muziki wake

Kwanii mwana FA asinge mpisha kwanza kwa sababu yeye J dee ndo aliwahi kutangaza?

mwana fa ndo alishirikiana na ruge kumwangamiza sugu. ruge alianzisha chama cha wasanii fake na kumpa uwenyekiti mwana fa. so yupo kuwahujumu wasanii wengine. mia
 
Puppy FA alishatoka B heats kitambo na jide hajawah kua b heats..
pia b heats inapotezwa sasa kwa7b mmliki wake(hermy b),n mmoja wa wak
urugenzi wa times fm na alishirikiana na akina sugu kuandaa lile tamasha la vinega pale sayansi.

Mkuu, lugha uliyoandika ni kijerumani au? Maana sijakuelewa ati, aliyemuelewa jamani anidadavulie. Au wewe ni mzee wa short hand nini?
 
Last edited by a moderator:
Hv wakuu kila bendi yenye shoo tar 31 isitishe onyesho kwa sababu ya Jide? Na kila msanii asitishe kwa sababu ya Jide?

Usijifanye kama huijui bongo wewe, hao mashabiki wenyewe wa kuwagawa wakwapi? Au ndo hawa wenye ajira za kuokota makopo
 
Back
Top Bottom