Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,332
- 4,951
Mi mzawa wa Uvinza umentajia chumvi ntalowea huko paloma...... mi vibibi sitaki na taka vidada
ntakupa na vitoto pia ntakupa....ila mapango ya Amboni utakwenda nami?
Mi mzawa wa Uvinza umentajia chumvi ntalowea huko paloma...... mi vibibi sitaki na taka vidada
ntakupa na vitoto pia ntakupa....ila mapango ya Amboni utakwenda nami?
usijali tutakwenda ila usalama wangu utakuwa juu yao na kama tutakuwa wote hata hivyo vitoto sitaki tena... nichukue vitu gani vya muhimu..?
....cha muhimu ni hilo taulo lako la njano hapo!!!!!!
Sikuchunguzi ila kufahamiana si vibaya huwezi kujua pengine wewe ni jirani yangu au pengine mimi ni house boy wako tuko chini ya dari moja...............Na zaidi unaweza kukuta Bishanga ni ndiye mwosha gari la Asprin na wako mtaa mmoja.
Au zaidi ukakuta my sister wa ukweli gfsonwin ni jirani yake Kimbweka. Na utashangaa zaidi pengine Madame B ndiye "house girl' wa Kaizer na kwamba mtalaka wangu charminglady anaishi pua na mdomo na Paw!
Lakini hizo zote ni hisia zinaweza kuwa kweli ama urongo. Sasa waungwana mtiririke wapi mnaishi na mitaa yenu tafadhali!
Mimi kwa kuanzia Naishi Daslam, Magomeni mwembechai barabara inayoelekea kwa Sheikh Yahya nyumba namba 220. Wewe je?
Jiwe Linaloishi zitatosha ila tuongeze black lebo -naipenda sana
na leg openers (sminofu) zitakkuwepo?
Naishi NANGARAMO Mkoani Mtwara
kaka Erickb52 hii pia ni aina moja wapo ya mbagala na ni kuzuri usipaime.Hahahaaaaaaa GTesha umenichekesha sana aiseeee lol
Kwa snake ndio mbagala gani tena?
Bujibuji pale igoma bado upo? halafu kuna jirani yako mitaa ya kishiri anaitwa afrodenzi mmewahi kuonana naye? mitaa ya buswelu alikuwepo msukuma mmoja anaitwa Nyaningabu ukipita huko msalimie sana, pale kati liberty kuna mchaga wanamuita @ze mangi ana duka la vyombo pale, halafu kule bugando kuna mswahili kahamia pale wanamuita MziziMkavu, hivi yule Ronn M alikuwa anaishi kule milimani bugarika yupo? na yule binti alikuwa anaishi pale igogo wasukuma wakampenda wakamuita sweetlady yupo? usikasahau kale ka dada kalitaka kupata u@firstlady wa mtaa wa mkuyuni sijui nako kao jf siku hizi? ndugu yangu salamu nyingi sana ... ngoja niendelee kukumbuka mitaa yao halfu nitakupa adress usihofu kuhusu huyo platozoom saa 4 asubuhi huwa anakula mikate pale pizaria...
yaani waan jf kumbe mmejaa hapahapa mjini?!!
Ok Me niko Kinondoni,
Ila kwa Mume Mkubwa ni Kinondoni Morocco karibu na Eddy Baba TakeAway.
Kwa Mume Mdogo ni Kinondoni Manyanya pale karibu na Jambo Pub,
Na Mume wa Tatu ni Pale kwa Mzee Zali Mtata'Mtukutu' pale Uhuru Peak,Vijana.
Karibuni wooote.
Naishi Mbinga - Kindimba "B"
hahahahaaaah ! kule Tanga nilimtia mimba binti wa Ustaadhi mmoja , sasa amejiapiza kuwa atanipatiliza pindi nikikanyaga ardhi ile , nimeamua kujichimbia Nangaramo mkoani MtwaraMbona jina linaonesha upo jijini Tanga, kwenye baikoko ya ukwe eh!
hahahahaaaah ! kule Tanga nilimtia mimba binti wa Ustaadhi mmoja , sasa amejiapiza kuwa atanipatiliza pindi nikikanyaga ardhi ile , nimeamua kujichimbia Nangaramo mkoani Mtwara