Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

What is wrong with the Americans,you do not rule the world,let Egyptians decide what they want.....Get out Mubarak....
I hate this attitude of Americans pretending to know what is best for us and making decison for us....solve your own problems,and let Africans be,agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
 
Revolution in Egypt in its MOST CRITICAL POINT at this very minute.

Many buildings includingPresident Mubarak's ruling party headquarters right away billowing in dark clouds of smoke as the irate public set on on fire almost every other thing - cars, buildings, name it.

In a few minutes to come Mubarak is expected to give a very important word at the heart of the escalating violence in all towns of Egypt. Curfew not effective enough!!

My Take:

Serikali ya Mubarak inapumulia Mashine wakati malaika wa Ukombozi barani Africa toka Tunisia yaonekana kusafiri haraka sana; hivi sasa keshaingia na kule Jordan in the Middle East wakati Tanzania bado kaiweka kiporo tu.

SOURCE: CNN / Reuters

Waanze na Libya kwanza
 
Jeshi limeingia mitaani Alexandria na kushangilwa na waandamanaji
 
Sasa sauti za risasi zaanza kusikika mitaani kutoka KUSIKOJULIKANA BADO ingawaje Egyptian protesters sasa wanaonekana bize kuweka vizuizi kila barabara maeneo yote ya karibu.
 
Hizi ni zama za nguvu ya umma. Wanaong'ang'ania kuongoza kimabavu si wakati wake. Wananchi wakichoka always siraha na jeshi havitoshi!
 
Hii Tunisia Uprising itakuwa na domino effect koote Africa na Middle East. Kama huamini basi kalagabaho!!:coffee:
 
Vituo kadha vya polisi vyasemekana kutekwa hadi sasa na kwamba waandamanaji wanaelekea jengo la Wizara ya Mawasiliano Cairo. Pengine ni kutokana na njia zote za mawasiliano kufungwa Misri hadi sasa.

Wananchi wamekaidi amri ya kutokutoka nje na sasa kutawala karibu mitaa yote jijini Cairo.
 
Katika picha
e232f9ba-3993-4e9c-94ff-fca6ffefeb74.jpg
egypt-riots.jpg


riots_egypt1.jpg


articleLarge.jpg
 
Mkuu hiyo "My Take" pia hipo kwenye CNN Report?

Hapana, kuhusu hoja ya 'MALAIKA WA UKOMBOZI' kuonekana kusafiri kwa haraka sana na kuwasha moto wa mabadiliko katika kila nchi ambako ama KUNA VIONGOZI WANG'ANG'ANIZI WA MADARAKA, wale WEZI WA MALI YA UMMA na hata WACHAKACHUAJI WA UCHAGUZI katika mataifa yao, ni maoni yangu mwenyewe na jinsi mwenendo mzima unavyoonyesha.
 
Na haya maandamano yakishuka yaka vuka jangwa la sahara kuelekea kusini sijui yataanzia nchi gani!
 
Wadau ule mji mkuu wa kihistoria wa King Solomon kule Misri, Alexandia sasa ndio kumelipuka zaidi na zaidi.

Taarifa ni kwamba huko polisi walishindwa na Nguvu ya Umma tangu masaa mengi tu ila kunasemekana kwamba huko kuna ka-dalili ya ya 'ushirikiano kati ya wanajeshi mtaani na wandamanaji wananchi!!

Sasa hatari!!!
 
Back
Top Bottom