Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Mtangazaji Fareed Zakaria katika jiji la Alexandria asema Mubaraka amechelewa na kwamba hawezi kuokolewa na majanga haya ya Nguvu ya Umma kwa sababu aligomea mwenyewe mabadiliko kwa zaiidi ya miaka 30.
Familia yake Mubaraka tayari wameshafika London. Swali vichwani ni kama Mubaraka naye ataelekea London na wala si Saudi Arabia kama ilivyo ada kwa madikteta wengune wengi tu Barani Afrika.
Familia yake Mubaraka tayari wameshafika London. Swali vichwani ni kama Mubaraka naye ataelekea London na wala si Saudi Arabia kama ilivyo ada kwa madikteta wengune wengi tu Barani Afrika.