Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 47
this seems to be very interesting
2011 mwaka wa mabadiliko...
Tunisia
Yemen
Egypt
Tanzania,United Republic of
2011 mwaka wa mabadiliko...
Tunisia
Yemen
Egypt
Tanzania,United Republic of
mmh unamaanisha Mrema yupi?Mrema!
Serikali ya Kikwete yenyewe hadi sasa yapumulia mashine, ni kwamba tu wengi hamjatambua ukweli huo. Kwaulize nisiders upate picha halisi.
mmh unamaanisha Mrema yupi?
Akitoka KJ mniweke Mie Dr. Mpasuajipu as a new president:clap2::coffee::laugh::A S 20::roll::twitch:opcorn::sick::A S thumbs_down:
Fuatilieni habari kwenye tv za kimataifa, polisi wamezidiwa huko Misri. Idadi ya wanaomiminika mitaani inazidi kuongezeka. It is probably impossible to contain the situation at this point, and may be Hosni Mubarak will have to pack and go.
Baada ya sanduku la kura kushindwa kuondoa utawala mbovu madarakani, nguvu ya umma inaonekana ndiyo suluhisho la uhakika. Tunasubiri nini watanzania?
Tunasubiri ujilipue na petroli kisha ufe ndipo tuanze mapinduzi kama ya wenzetu Misri, Tunisia nk. wao walianza na kujilipua kwanza ndipo harakati zikafuata! unangoja nini?