Naam hata mimi nakubaliana na wewe kijjan
Mwinyi alikuwa poa sana confident, exposed
Hana pupa katika kujibu na ni msomi mzuri tu
Mwinyi huyo ni mtoto wa mzee ruksa?
What is your point? Hakuwa mwanajeshi professionally ulitaka azeekee huko?Mimi namfahamu sana Makongoro Nyerere.
Kama watu wangekuwa makini walitakiwa kumwuliza Je Jeshi aliacha mwenyewe au alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu au alistahafu?
Makongoro Nyerere kadhihilisha hilo leo Bungeni. Anajiamini, anapoints, hanyenyekei kuomba kura, anaonyesha msimamo, anakemea na kutoa angalizo, kama mzaha flani anaweka na jokes kidogo. Maadili yale yale kama enzi za Mwalimu! Anaongea Kingereza kizuri, hana Uchu wa hiyo nafasi, karelax na anasema ukweli.. Nyerere kweli aliandaa watoto wake vyema! R.I.P Mwalimu, Vijana unao!