Mwalimu aliwalea wanawe katika maadili na makuzi ya kijamaa zaidi

You are right! Lakini hata yule wa mwisho kujieleza anonekana yuko vizuri, anaitwa rweikiza. He is very good. Baharia hamna kitu kabisa afadhari hata mtoto wa mwinyi.

Baharia confidence Zero aisee teh!
 
Kwa Tanzania ya leo, mgombea atakayechaguliwa siyo lazima awe na akili wala maadaili; itategema na shilingi atakazokuwa amegwa kwa wapiga kura - ambao ni wabunge waliofanya vivyo hivyo wakati wao wanagombea.
 
Kimbisa atapita kwa kuhonga tu kwa hawa wabunge wa ccm vilaza lakini materialy hana kitu; Busara ingetumika kwa wanaume bara wangekuwa ;Mndolwa, Makongoro na Rweikiza!!
 
Naam hata mimi nakubaliana na wewe kijjan
Mwinyi alikuwa poa sana confident, exposed
Hana pupa katika kujibu na ni msomi mzuri tu

Mwinyi huyo ni mtoto wa mzee ruksa?[/QUOTE]

Unauliza jua Arabuni? Ni mwanae huwa anasumbua hapo bongo na Hammer la purple (kama bado lipo) Lina namba za kibalozi ana legal firm hapo Apha House
 
Mkongoro anadhihirisha umakini wa baba wa taifa katika uzalendo na malezi,ila hafai kwa urais 2015,kwa kuwa yupo kwa wazee wa magambaz!:heh:
 
Mwinyi huyo ni mtoto wa mzee ruksa?

Unauliza jua Arabuni? Ni mwanae huwa anasumbua hapo bongo na Hammer la purple (kama bado lipo) Lina namba za kibalozi ana legal firm hapo Apha House[/QUOTE]

Huhuhuhu! Huyu mwinyi ni FISADI INVISIBLE teh! teh!
 
Kimbisa atapita kwa kuhonga tu kwa hawa wabunge wa ccm vilaza lakini materialy hana kitu; Busara ingetumika kwa wanaume bara wangekuwa ;Mndolwa, Makongoro na Rweikiza!!

Kimbisa domo maneno tu, hana hoja kabisa!
 
Mimi namfahamu sana Makongoro Nyerere.
Kama watu wangekuwa makini walitakiwa kumwuliza Je Jeshi aliacha mwenyewe au alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu au alistahafu?
What is your point? Hakuwa mwanajeshi professionally ulitaka azeekee huko?
 
Makongoro Nyerere kadhihilisha hilo leo Bungeni. Anajiamini, anapoints, hanyenyekei kuomba kura, anaonyesha msimamo, anakemea na kutoa angalizo, kama mzaha flani anaweka na jokes kidogo. Maadili yale yale kama enzi za Mwalimu! Anaongea Kingereza kizuri, hana Uchu wa hiyo nafasi, karelax na anasema ukweli.. Nyerere kweli aliandaa watoto wake vyema! R.I.P Mwalimu, Vijana unao!

Alivokuwa anaelezea jinsi alivopigana vita ya Ugand,nywele zangu zilisimama na mwili mzima ukasisimka.Hapo nikakumbuka hotuba ya kutangaza vita aliyoitoa Mwalimu.Machozi ya furaha yamenitoka leo.Makongoro kanivutia sana mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom