Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
hapa hakuna 10% manake manunuzi ni full risiti. kwahiyo hutasasambua?
Mi tena? Kwetu Tanga!
hapa hakuna 10% manake manunuzi ni full risiti. kwahiyo hutasasambua?
nshakuona shosti wangu jins ambavyo unakanda kiuno kwa mafuta ili usasamabue vizuri lol!
hapana huruhusiwi kutoka nje. leo ni mm na wewe humu ndani hadi kieleweke.
bibi weeee hebu acha umwali kigego unataka tuitwe misungo siye wakti ni mafundi tulotukuka kwenye hii faniJamani kungwi,nataka namimi nitoke nje jamani,
Mbona mimi leo bubu?
Mdomo unaniwasha kungwi.
na wewe nani kakuita hapa?
Jamani kungwi,nataka namimi nitoke nje jamani,
Mbona mimi leo bubu?
Mdomo unaniwasha kungwi.
nimeambiwa kutakuwa na totoz za ukweli
tena za ukweli ila marufuku kuona mkia humu ndani. tutataka tujiachie kwa raha zetu.
yaani tukifika tunavua baibui na madela tunabaki na nguo za ukweli full kujiachia utatujua kwani? na hivi tumejifungia ndani??
ahahahahahhaha hapa ndo utamfanya ahonge kabisa ili aweze kuruhusiwa kuja!