mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

hapa unamfunda kiaina zote ashindwe yeye kuutumia tu, akitoka hapo lazima awe mkwe wetu atembee na bastola lol!

ahahahaahhah hala hala kesi staki mie!manake utamu wa mtoto wa kike mashalau kama Madame B af akiongeza ma mafundo ya makungwi siye plus na ujanja wake wa mjini hapa mbona baba wa watu namuonea huruma !
 
Last edited by a moderator:
yaani mie nitamfunda mwenyewe chumban acha kabisa, ni bora umemkwepesha hayo aiseee ile ni zaid ya jeshi.

mi mwenyewe mbona nilimpa tu darasa mwenyewe chumbani tukamaliza biashara !kwanza imenisaidia sana kuongeza ukaribu na uwazi wake kwangu!anazidi kujiona yuko salama zaidi kunieleza akiwa na reference ya nilivyo kuwa muwazzi siku nilipomwambia kwa mara ya kwanza !
 
bila kusahau kitezo mara moja moja kinahusika ati!

chtezo lazima na uvumba wake. atiiii huyu anatakiwa tukimpiga moja wiki nzima ananukia tu bila hata kurudia. udi wa muscatt ndo mzuri ngoja niagze kabisa kwa mama salma manake wamekwenda kuhiji atuletee hiyo kesho.
 
Mmmhh mbona mnaanza kunitisha,kama kitchen party maandalizi ndiyo hayo sasa send off si ndo itakuwa balaa,duh ngoja tuendelee kujipanga kwa harusi bado ni siri tutawaambia itakapofanyika siku ya harusi hakunaga hakunaga zaidi yangu mimi na wewe
 
chtezo lazima na uvumba wake. atiiii huyu anatakiwa tukimpiga moja wiki nzima ananukia tu bila hata kurudia. udi wa muscatt ndo mzuri ngoja niagze kabisa kwa mama salma manake wamekwenda kuhiji atuletee hiyo kesho.

haswaaaaaaaaaa!tena huyo mwagizie na mitandio ka mitano hivi ya kuangaza,na kikuku cha nakshi nakshi pia aisisahau mwanamke shurti kujitia kishaufu!
 
Wakikupa tenda hakikisha unatafuta ile camera latest inaitwa "pregnant"
mi nitaomba kukushikia taa, tena taa nzuri tutumie zile zinaitwa "hatulali njaa"

hivi wewe umeshapona ama ndo utakuja na magongo ukumbini? btw hatutak mkia hata mmoja ndani humu
 
gfsonwin sherehe mbona imefana nimemwambia Bishanga ambaye yupo marekani kwenye kampeni za obama alete jet yake itakayomchujua mwali kutoka home mpaka airport kutoka hapo atakuja na kijiko (Gari la kutengeneza barabara) litapambwa kinoma driver atakua Erickb52 lakini anaweza kumtorosha Kongosho ataendesha wanawake tunaweza waliobaki karandinga zinawahusu experience the difference.Karucee njoo na valuu moja kwa ajili ya mwali
 
jamani sasa nyie akina mlongo wangu snowhite, rafiki yangu cacico, na my lovely wii sweetlady si tulikubaliana tukutane muda huu? mi nawasubiri hapa tulipokubaliana mbona sioni hata mmoja? mnajua gfsonwin atatu-mind sana tukichelewa kununua zawadi na kusababisha kuchelewa kumfunda mwali.
fanyeni basi tuondoke
dada mkubwa mi nakwambia nahisi nimehamishwa kitengo sijui!manake nahisi madame gfsonwin kanifanyia reshafo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom