mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Kesho tarehe 19/10/2012 ni siku ya kitchen party ya Madame B.
kama kawaida akina mama changamkeni leo kwaajili ya maandalizi ya shughuli hii sote tuwe kitu kimoja.
majukumu yanagawanywa kama ifuatavyo.
snowhite, cacico, sweetlady, FP ninyi mtahakikisha kwamba zawadi a mwali zinanunuliwa leo mapema mlete na risiti zake.
lara 1, Smile ninyi mtaandaa msosi wa mchana wa mwali manake muda huu yuko ndani haruhusiwi kutoka . hakikishen huduma zote mnampatia hadi atakapo chukuliwa.
Preta wewe ndie somo wake huyu mwali so leo utaingia nae ndani na utuletee ujumbe kile mwali anachokitaka. Kongosho, King'asti, Zion Daughter, Catherine, Ciello ninyi mtahusika na shopping ya vyakula vyote hapa cashier atakuwa King'asti manake najua huyu tutakwenda sawa mwenzangu Kongosho wewe unaweza ukaeka bajeti za konyagi humo ndani.
Remmy, Lonely heart anne, Princess emmy, ninyi mtahusika na manunuzi ya vinywaji hapa cashier atakuwa Lonely heart.
Mamndenyi, nyumba kubwa ninyi mtachukua jukumu la kutoa nasaha kwa mwali wetu pale ukumbini. lakini kumfunda ndani sote tutawajibika kumfuda na hapa itakuwa ni kwa wale akina mama walioolewa tu ndio atakao mfunda mwali ndani.
AshaDii na Mwali ninyi mtahusika na uandaaji wa sanduku la mwali.
mapambo ni charmingirl na eversmilinglady

ambao sijawataja hao ndio wa muhimu sana kwenye shughuli so karibuni sana ila angalizo uje na vyombo vya ndani na hatutaki vyombo vya plastic hapa ulete vya udongo na vya chuma wala sio bati.

nawakilisha.
 
Kesho tarehe 19/11/2012 ni siku ya kitchen party ya Madame B.
kama kawaida akina mama changamkeni leo kwaajili ya maandalizi ya shughuli hii sote tuwe kitu kimoja.
majukumu yanagawanywa kama ifuatavyo.
AshaDii na Mwali ninyi mtahusika na uandaaji wa sanduku la mwali.

Nimependa sana hii kazi nilopewa, naona kuna uwezekano wa kula teni pasenti hapa. hahahaha
Mimi nitaenda kununua, then AshaDii wil present it (dancing) during the kichen party itself.
 
Nimependa sana hii kazi nilopewa, naona kuna uwezekano wa kula teni pasenti hapa. hahahaha
Mimi nitaenda kununua, then AshaDii wil present it (dancing) during the kichen party itself.

hapa hakuna 10% manake manunuzi ni full risiti. kwahiyo hutasasambua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom