Mwali! Siamini......

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Dear Mwali,

Natumai we ni mzima bukheri wa afya. Mimi ni mzima japo napata matatizo ya kulala hasa ninapokuwaza.

Lengo na madhumuni ya ujumbe huu ni kukutakia heri ya pasaka na kutaka kukwaambia kuwa nimefadhaishwa sana baada ya kugundua kuwa umefanya kweli vile ulivyosema utafanya juu yangu. Nimekuwa mdogo kiasi cha kuweza kupita chini ya upenyo wa mlango (nimefanya hivyo leo)

Hata hivyo bado nimo,

Wako katika mchakato
Musimo jr
 
Lizzy tene imekuwaje?

Haya Mwali kazi kwako, bedsheet mate analalamika.
 
Nianzie wapi GeeCee?
Ngoja Mwali aje maana ndie mhusika mkuu.

Jamani we unaweza kuwa na ufahamu wa namna ya kurekebisha tatizo la Musimo Jr...
Namsahau tu ni bidada yupi aliyekuwa akimpa kampani..
 
Nimesema Lizzy is here to stay na Mwali ni wa majaribio coz nataka kubreak her heart
 
Nimesema Lizzy is here to stay na Mwali ni wa majaribio coz nataka kubreak her heart
Mambo? vipi tena? nimesoma thread ila sijaelewa elewa,
nimefanyaje mimi hadi unishukuru kwa uchungu hivo?
Lengo na madhumuni ya ujumbe huu ni kukutakia heri ya pasaka na kutaka kukwaambia kuwa nimefadhaishwa sana baada ya kugundua kuwa umefanya kweli vile ulivyosema utafanya juu yangu. Nimekuwa mdogo kiasi cha kuweza kupita chini ya upenyo wa mlango (nimefanya hivyo leo)

Naomba unifafanulie hapo kwanza.
Lizzy, please don't leave him, he looks hurt.
 
Mambo? vipi tena? nimesoma thread ila sijaelewa elewa,
nimefanyaje mimi hadi unishukuru kwa uchungu hivo?

Naomba unifafanulie hapo kwanza.
Lizzy, please don't leave him, he looks hurt.[/COLOR]

Mamboz Bedsheet mate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom