haya majembe ilibidi yachukue wizara tofauti BUT JK HAPA KANIKUNA GOOD!Njowepo, nadhani una ugonjwa wa Phobia. Dalili mojawapo ya phobia ni kuogopa kila jambo. Kwani majembe mawili hayawezi kufanya kazi pamoja? Au ulitaka wakae vilaza watupu. ACHA HIZO
Naona apa kuna namna haya majembe mawili kuyaweka wizara moja?
Labda wanataka wahitilafiane wenyewe kwa wenyewe alafu akina EL wabaki kupiga makofi
Magufuli sio engineerHiyo ya magufuli na mwakyembe imetulia mana wakandarasi walishaaza kuvuna kwenye shamba la bibi kama zao na kutimka zao uchina uko.hapo jk kafanyia maoni ya watanzania walio wengi mana mwakyembe lawyer ,pombe enginia hapo pako powa hakuna mikataba feki.ilaaaaaa mhhhhhhhhhhhhhh kwa sita kupewa east africa amechakachuliwa kisiasaaaaaa baibaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sitaaaaaaaaa
Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?
Tusisahu kazi ya Naibu Waziri ni kujibu maswali bungeni. Mwakyembe bye bye - hakuna tena vita dhidi ya ufisadi wala nini!
Hiyo ya magufuli na mwakyembe imetulia mana wakandarasi walishaaza kuvuna kwenye shamba la bibi kama zao na kutimka zao uchina uko.hapo jk kafanyia maoni ya watanzania walio wengi mana mwakyembe lawyer ,pombe enginia hapo pako powa hakuna mikataba feki.ilaaaaaa mhhhhhhhhhhhhhh kwa sita kupewa east africa amechakachuliwa kisiasaaaaaa baibaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sitaaaaaaaaa
we ni mnafiki kila mtu anamapungufu yake bwana ...