Mwakyembe amtaja waziwazi Rostam Aziz!

Kuna ambaye alikuwa halijui hilo? Sitta, Mwakyembe, walilijua hilo mapema hata kabla ile kamati ya Bunge kuhusu Richmond kuundwa. Kwa nini aliseme sasa?
 
Suala la Dowans lilijitokeza juzi jumatatu wakati kamati ya wabunge wa CCM iliyoketi Dar es Salaam, nimefurahishwa na hii nukuu jinsi alivyozungumza Mwakyembe: "Mnahangaika nini? Aliyetufikisha hapa ni mtu mmoja tu: anaitwa Rostam Aziz. Serikali ifanye kila linalowezekana kuhakikisha fedha hizi hazilipwi"

Source: Mwana Halisi Janaury 26-Feb 1, 2011 Ukurasa wa pili paragrafu ya 22

Dah kaua kabisa watamuacha kwenye baraza la mawazili kweli huyo?
 
Hiyo ndo aina ya viongozi tunayoitaka. ccm wanasahau kuwa zama za "zidumu fikra za mwenyekiti wa chama" zimeshapita. Karibu CDM mwakyembe na mr. 6.
 
Suala la Dowans lilijitokeza juzi jumatatu wakati kamati ya wabunge wa CCM iliyoketi Dar es Salaam, nimefurahishwa na hii nukuu jinsi alivyozungumza Mwakyembe: "Mnahangaika nini? Aliyetufikisha hapa ni mtu mmoja tu: anaitwa Rostam Aziz. Serikali ifanye kila linalowezekana kuhakikisha fedha hizi hazilipwi"

Source: Mwana Halisi Janaury 26-Feb 1, 2011 Ukurasa wa pili paragrafu ya 22


Bravo Mwakyembe,kwanini mtu mmoja anayumbisha nchi nzima huu si ujinga kabisa.
 
hana lolote Mwakyembe...mi sijamuona kama kuna la maana analoongea kama anakerwa na haya why sasa anaendelea kuwa miongoni mwao huko CCM...
wewe nawe kama haupo nchi hii vile,mi huwa naunga kauli ya marehemu mwl nyerere kuwa mpinzani wa kweli atatoka ndani ya ccm,so kwa mwakembe ni nyota nzuri kwa watanzania,anapigana ndani bdy akishindwa tutamuona huku nje,pili si kila mpenda haki yupo upinzani,pia ndani ya ccm wapo watu wazuri na watenda haki na wachapa kazi wazuri
 
hana lolote Mwakyembe...mi sijamuona kama kuna la maana analoongea kama anakerwa na haya why sasa anaendelea kuwa miongoni mwao huko CCM...

wee chizi anaweza pambana na hao ccm huko huko..unadhani dawa ya tatizo ni kulikimbia?? ni kukabiliana nalo sawa wee mwehu!!
 
Ndio watanzania tulivyo. Too much longolongolongolongoooooo na wizi mtupu kwa sura mbalimbali. Mtu yuko radhi hata kuuza nyumba pekee anayoishi halafu apangishwe kwenye corridor ya nyumba hiyo hiyo kwa masharti magumu. Ndio sifa. Mipango kila siku hakuna kutenda na wala real evaluations.
 
Kuna wakati nilimuona JK kwenye TV, miaka michache iliyopita, akisema uwanja wa ndege wa Mwanza utapanuliwa na kuwa wa kisasa. Tena nikamuona akijisifu uwanja wa ndege wa KIA nao utapanuliwa utakuwa wa kisasa. Wakati mwingine tena nilimuona kwenye tv akisema uwanja wa ndege wa Mbeya utajengwa kwa sababu Mbeye ni point muhimu sana katika nchi hii.

Nini status ya ujenzi wa viwanja hivyo hadi leo?
 
Tunataka mashuja wa aina hiii wenye kuweza kuongea ukweli
suala la dowans lilijitokeza juzi jumatatu wakati kamati ya wabunge wa ccm iliyoketi dar es salaam, nimefurahishwa na hii nukuu jinsi alivyozungumza mwakyembe: "mnahangaika nini? Aliyetufikisha hapa ni mtu mmoja tu: Anaitwa rostam aziz. Serikali ifanye kila linalowezekana kuhakikisha fedha hizi hazilipwi"

source: Mwana halisi janaury 26-feb 1, 2011 ukurasa wa pili paragrafu ya 22
 
Mkuu, siamini katika msemo ati kama huwawezi ungana nao. la sivo pasingekua na mapinduzi halisi. Naomba uamini katika hili: Kukimbia tatizo si kulisuluhisha, suluhisho limo katika kupambana nalo. Sasa si lazima kila mtu apambane na hawa wasaliti wa watanzania akiwa nje. Tunahtaji watu wa ndani pia. Moto unaoanzia upande mmoja pahala pakubwa ni rahisi kuuzima zaidi ya ule unaowaka kila kona! I thought you are thinking big aisee..... if not this is no place 4U!!!

sasa sebene limefikia chorus
 
Sooo pitty!
JK ni mtu anAyeboa sana!
Ati alisema kuwa anasononeshwa sana na mjadala wa Dowans...IS IT ENOUGH FOR THE PRESIDENT TO UTTER SUCH WORDS?...Halafu bado mnasema tuko kwenye Cooperation ya EA!...mANENO NA MATENDO WAPI NA WAPI!!:heh:
 
Bravo Mwakyembe,kwanini mtu mmoja anayumbisha nchi nzima huu si ujinga kabisa.
Sababu ndiye aliyemuweka rais madarakani, na akitaka kumtoa anaweza na sasa anamuandaa mwingine na dalili za awali tayari zinaanza kuonekana
 
Back
Top Bottom