Mwakyembe amtaja waziwazi Rostam Aziz!

Kwa ufupi we have a president who is powerless. Ingekuwa enzi za mwalimu hamna ambae angefungua mdomo wake ovyo. If you see things are not going well speak among yourselves privately, if they don't want to respond. Resign and speak it publicly, or keep your post and keep quit. In short I wonder what these "so called nice, clean" people like Mwakyembe are doing in this rotten government. Njaa? Yakianza mawe hakuna cha mimi sikuiba ni wote. Ndege wa aina moja huruka kundi moja.
 
Safari ni safari, hii ya ufisadi hatima yake ni wananchi pindi watakapokuwa wameamua kusema Enough is enough. Kwa hali ya ugumu wa maisha jinsi ulivyo haitachukua muda mrefu kufikia stage hiyo. Wachumia tumbo wanahitaji kusoma alama za nyakati, yanayotokea ktk nchi zingine (Misri, Tunisia, Russia etc) yaweza tokea hata hapa Tanzania. Safari yao itakapokuwa imetimia, hakuna atakayeihahirisha. Its a matter of time
 
Back
Top Bottom