Mwakyembe ageukwa

Siku moja baada ya waziri wa uchukuz DR Mwakyembe kutengua uteuzi wa paul chizi imegundulika kuwa aliyemteua kushika wadhifa huo LUSAJO ni binamu yake na mnyakyusa mwenzake.source aliye jikoni
 
kiongozi! Si kweli hata kidogo,hiyo si aina ya kiongozi kama mwankyembe.....sikatai sana wala sikubali hata kidogo
 
kiongozi! Hujafa hujaumbika,wakati wake umepita ingawa umemuacha na majeruhi,Mungu yu mwema aliye mponya ndio atakaye mrudishia mwili wake salama na wanafiki,maadui wake wote mtabaki na mshangao.

Sijawahi kuona mtu mnafiki kama Mzee wa Ukurutu tulikuwa tunamuonea huruma na kumombea kuhusu Afya yake baada ya kupata nafuu na karudi kutoka India akawaita waandishi wa habari na kusema tusiingilie Afya yake hajui alikuwa anatumia kodi zetu tuna haki ya kuhoji
 
Tusilete majungu mapema tuache Mh Mwakyembe afanye kazi yake sasa kama ana sifa na anastaili mulitaka asichaguliwe kisa kabila moja au shemeji?
 
Dr Mwakyembe hawezi kufanya ujinga kama huo, lkn kama huyo binamu yake ana uwezo wa kazi asipande cheo hadi Mwakyembe ahamishwe wizara hiyo? Mnaofikiri hivyo ndo wakabila. Kwa hiyo Wanyakyusa waliopo ATCL hawatapanda vyeo hadi Mwakyembe ahamishwe wizara? Na je, kwa kufanya hivyo huo nao si ukabila?
 
Tusimjadili aliyeteuliwa, nafikiri ni vyema zaidi tukajadili kufukuzwa kwa aliyekuwepo je amefukuzwa kwa uhalali?
 
dr.

nakuoamba mimi binafsi uache kuingiza mambo ya unyakilishi kwenye mashirika yetu yanayohusiana na wizara yako. umeteuliwa jusijusi tu, lakini tiyari ushamuweka Lusajo aka Sajo kwenye shirika la magari ya angani. kwa kuwa na wewe na sajo mnatokea mwakaleli.

halafu hapohapo nyie chama cha magamba mnajidai sana kupiga fita ukabila kama tungefanya sisi m4c mngeongea sana kwamba shirika la ukoo.

baba kimoko
 
nadhani itakuwa kweli,ukabila itakuwa ndio sababu.maabna hataki kusema sababu ya msingi,paul alikuwa anafanya vizuri.nyinyiemu hakuna aliyebaki wote ni vimeo hata huyo mwakyembe tupaa kule.huwezi tembea na mwizi wewe usiibe.
 
huyu katimuliwa kwa madudu yake..au wewe ulikuwa unaona poa tu..shirika lipo linalipa wafanyakazi mishahara lakini hakuna ndege hata moja inayofanya kazi..madudu makubwa haya..sikatai kaama ukabila upo , ila si katika kiwango cha namna hiyo..jana mwenyewe napita ofisi moja ya serikali watu wanasalimiana kamwene kwenye korido..hali ni mbaya kwenye ofisi za kiserikali
 
Basi wacha apange safu yake ili akipewa sumu asimsingizie mtu maana yake kwa unafiki huyu mzee anaweza akawa anaongoza.Alipokuwa India watanzania niombeeni nikurudi napasau jipu lote alipokuja kila mtu anajua alichokifanya.Bora angedanja tu kudadeki
 
Mpiga majungu kweli haachi fitina. Hivi wewe ulitaka amteuwe nani mwenye sifa anayemzidi Lusajo? Jamani acheni wivu na kuwapaka watu matope...lo!
 
huyu katimuliwa kwa madudu yake..au wewe ulikuwa unaona poa tu..shirika lipo linalipa wafanyakazi mishahara lakini hakuna ndege hata moja inayofanya kazi..madudu makubwa haya..sikatai kaama ukabila upo , ila si katika kiwango cha namna hiyo..jana mwenyewe napita ofisi moja ya serikali watu wanasalimiana kamwene kwenye korido..hali ni mbaya kwenye ofisi za kiserikali
madudu kuzuia utengenezaji wa ndenge nje ya nchi na kuanza kutengeneze hapa nchini?hebu imagine,kulikuwa na haja gani kutengenezea ndege nje ya nchi wakati inawezekana kufanyia hapa nchini,atcl ilikuwa imekufa atleast baada ya yeye kuteuliwa inaonekana,watu walikuwa wanalipwa bila kufanya kazi.acha kubwatuka,cha maana huyo mwakyembe aseme sababu ya msingi ya kutengua uteuzi wa paul.au aeleze ni sheria na taratibu gani zilikiukwa.tusitee vitu ambavyo vinacist nchi hii.
 
Back
Top Bottom