Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

Huyu mtoto sio wako mleta Mada liongo likubwa wewe mtoto wako huwezi kumuandika kwa dhihaka hivi. Linachekacheka kama kichaa, bora afe. Lugha uliyotumia tumeipuuza ila chakumshauri huyo mwenye mtoto kama kweli mtoto huyo yupo, amshukuru Mungu maana kupata tu mtoto ni heri kuliko mgumba
Hujui tofauti ya Emoji ya kucheka na Kulia jamii forum unafanya nini???
 
Mkuu pole sana mshukuru mungu ndiyo mpangaji wa kila jambo hao wanaokucheka hawajitambui kwani mwenyezi yeye ndiye muumba hivyo hawajitambui achana nao jambo linaweza kumtokea mtu yeyote ushauri mpeleke katika shule za walemavu wasioongea ( bubu)
Nina mwanangu anakaribia miaka 6 lakini kuongea ni tabu

Alipokuwa mchanga alianza kuongea vizuri tu lakini cha ajabu akabadilika ghafla anakuwa haongei mfano ukimuuliza kitu hajibu ataenda tu

Akiongea labda aite baba au mama tu ukimuambia atamke maneno atatamka lakini ukimtamkishia maneno mengi anaanza kuwa mkali inakuea kama analazimisha mishipa aongee kirahisi

Kinachoniuma nikimtuma anaenda vizuri au ukimwagiza jambo anafanya vizuri tu tatizo ni kuongea tu

Pia anakuaga sometimes anacheka cheka tu mwenyewe na kuongea vitu hata havieleweki nilidhani ana shida ya ulimi lakini wapi

Nimehangaika naye hosptali wanasema hana tatzo, nimeenda kwa tiba mbadala lakini tatizo haliishi

Kuna wakati anakuwa kama kichaa yaani anakimbia kimbia tu na kucheka mwenyewe jamani nimechanganyikiwa hivi kuna mtu ana mtoto haongei kama wangu au kuongea ni shida? je mloweza kutibia mnafanyaje?

Why godwengine wananicheka kwamba nimezaa chizi roho inaniuma mnoo, yaani ukimwagiza kila kitu anafanya lakini nashindwa kujua kwanini hana msamiati hata mmoja wa neno kichwani kwanini kila sku inakuea kama anapoteza kumbukumbu?

Ee Mungu kwanini mimikuna wakati nashindwa hadi kula, nashindwa hadi kulala kwa mawazo ya huyu mtoto hadi nishapata na BP hadi kwenye maombi nimejaribu lakini wapi

Akienda kucheza na wenzake wanamcheka wengine wanampiga wakimlazimisha aongee anakuja akilia sana nyumbani roho inaniuma mmnilijaribu kumpeleka shule chekechea nikaja muachisha maana muda wote haongei na hasikilizi yeye saa zingine anacheka mwenyewe tu na kujinung'unikia

Nishaurini jamani natamani hata siku niliyomzaa bora angekufa tu kuliko anavyoteseka hivi naongea hv sio kwa ubaya lakini why god mwanangu ateseke hv amekula dawa nyingi sana hadi imefika hatua sasa naona keshaanza kujichokea tu na kuzoea dawa sio za hosptalini au tiba mbadala maana mfano nishamfusha hadi nimejichokea mwanangu anateseka jamani wenzake wapo shuleni yeye ashakua ni wa nyumbani tu roho inaniuma sana why god huyu kiumbe asiye na hatia ateseke hivi
 
Pole sana lakin usimuachishe shule huko ataongea tu
 
Pole sana, kwa suala la shule ungempeleka hata kwenye zile shule maalumu wao wanao utaalam wa kufundisha watoto wa namna hiyo.
 
Pole sana,pamoja na yote pia mtegemee MUNGU kwa kila jambo utashinda.
 
naongea hv sio kwa ubaya lakini why god mwanangu ateseke hv amekula dawa nyingi sana hadi imefika hatua sasa naona keshaanza kujichokea tu na kuzoea dawa sio za hosptalini au tiba mbadala maana mfano nishamfusha hadi nimejichokea mwanangu anateseka jamani wenzake wapo shuleni yeye ashakua ni wa nyumbani tu roho inaniuma sana why god huyu kiumbe asiye na hatia ateseke hivi
Mama Clara hujachelewa...wadau wengi.sana wamekuelezea juu ya Usonji au autism.

Hata jirani yangu mwanae anatatizo hilo na huanza kwa mtoto akiwa miaka miwili.

Wako ana hali nzuri sana sana..mpeleke kwa madaktari wa watoto wa magonjwa ya vichwa au Neurology Muhimbili National Hospital ka upo Dsm..yupo Dr. Kija atakusaidia then unaanza occupational therapy na speech therapy..atakuwa sawa.

Usikate tamaa mkatie bima kama hauna bima ya NHIF aanze matibabu.

Asante na usikate tamaa ndugu yangu.
 
Nina mwanangu anakaribia miaka 6 lakini kuongea ni tabu

Alipokuwa mchanga alianza kuongea vizuri tu lakini cha ajabu akabadilika ghafla anakuwa haongei mfano ukimuuliza kitu hajibu ataenda tu

Akiongea labda aite baba au mama tu ukimuambia atamke maneno atatamka lakini ukimtamkishia maneno mengi anaanza kuwa mkali inakuea kama analazimisha mishipa aongee kirahisi

Kinachoniuma nikimtuma anaenda vizuri au ukimwagiza jambo anafanya vizuri tu tatizo ni kuongea tu

Pia anakuaga sometimes anacheka cheka tu mwenyewe na kuongea vitu hata havieleweki nilidhani ana shida ya ulimi lakini wapi

Nimehangaika naye hosptali wanasema hana tatzo, nimeenda kwa tiba mbadala lakini tatizo haliishi

Kuna wakati anakuwa kama kichaa yaani anakimbia kimbia tu na kucheka mwenyewe jamani nimechanganyikiwa hivi kuna mtu ana mtoto haongei kama wangu au kuongea ni shida? je mloweza kutibia mnafanyaje?

Why godwengine wananicheka kwamba nimezaa chizi roho inaniuma mnoo, yaani ukimwagiza kila kitu anafanya lakini nashindwa kujua kwanini hana msamiati hata mmoja wa neno kichwani kwanini kila sku inakuea kama anapoteza kumbukumbu?

Ee Mungu kwanini mimikuna wakati nashindwa hadi kula, nashindwa hadi kulala kwa mawazo ya huyu mtoto hadi nishapata na BP hadi kwenye maombi nimejaribu lakini wapi

Akienda kucheza na wenzake wanamcheka wengine wanampiga wakimlazimisha aongee anakuja akilia sana nyumbani roho inaniuma mmnilijaribu kumpeleka shule chekechea nikaja muachisha maana muda wote haongei na hasikilizi yeye saa zingine anacheka mwenyewe tu na kujinung'unikia

Nishaurini jamani natamani hata siku niliyomzaa bora angekufa tu kuliko anavyoteseka hivi naongea hv sio kwa ubaya lakini why god mwanangu ateseke hv amekula dawa nyingi sana hadi imefika hatua sasa naona keshaanza kujichokea tu na kuzoea dawa sio za hosptalini au tiba mbadala maana mfano nishamfusha hadi nimejichokea mwanangu anateseka jamani wenzake wapo shuleni yeye ashakua ni wa nyumbani tu roho inaniuma sana why god huyu kiumbe asiye na hatia ateseke hivi
Pole kwa majaribu unayopitia.

Je, mtoto mnamlea kwa pamoja wewe na baba yake?
 
Mpeleke Arusha VUKA YORDAN kwa Mtumishi wa Mungu Elibariki Sumbe
Mungu atakufuta machozi yako
 
Kwa jinsi ulivyoeleza inaonekana huyo mtoto hana tatizo kubwa sana ila wewe mama yake ndio una matatizo. Haiwezekani mtoto anaweza kufuata baadhi ya maagizo na shida kubwa kwake ni kuchelewa kuongea na kucheka cheka halafu unakurupuka kuchanganya tiba ya hospitali na miti shamba.

Achana na hayo matiba mbadala mpeleke hospitali inayoeleweka yenye wataalamu kama Muhimbili na uzingatie ushauri wa madaktari/ wataalamu halafu uone matokeo yake.

Hautakiwi kuchoka, kukata tamaa wala kumkufuru mwenyezi Mungu kwani huo ni mtihani kutoka kwa mwenyezi Mungu na kuna wenzio wamepewa mithani zaidi ya huo wa kwako. Tumeambiwa tumshukuru Mungu kwa kila jambo basi nawe shukuru na umuombe Mungu kwa dhati ya moyo wako ili akuondolee huo mtihanmi na si kwa mapenzi yako bali mapenzi yake.

Kwa umri wa huyo mtoto bado ana nafasi ya kukaa vizuri na kurudi kawaida kabisa. Pia mrudishe shuleni aendelee kupambana na watoto wenzake atapata rafiki tu anayemwelewa kati ya watoto wenzake na wewe kama mama hakikisha unafika shule kumfuatilia kila siku na uongee na walimu ili msaidiane kuwaonya wale wote wanaomtenga.

Kitendo cha wewe kukubaliana na hali ya mwanao abaki nyumbani ndio unamzidishia tatizo zaidi kwa kuwa anakuwa mpweke. Jitahidi pia kumchanganya acheze na watoto wa majirani hapo karibu yako unapoishi. Na kama hilo haliwezekani la kucheza na watoto wa majirani kutokana na mazingira unayoishi basi tafuta ndugu yako mwenye watoto wa umri wake uwe unampeleka huko week end ili ajichanganye nao.
 
Ila binadam huwa hawna wemaa, mm binafsi umenikwaza tuu kwa maneno yako. Hebu siku nenda muhimbili pale kweny folen wa watoto weny matatiz ya CP ( celebral palyse), ndugu utashangaaa mwnyw na wazaz wa wale wa watoto walivyo then uje ukae umuangalie mwanao. Utamshukuru Mungu my dear 💯.Allah hutupa sisi mitihan waje wake ile tunayoimudu.

Mm mtoto Wang ni kulala maisha yake yote na cjawahi kukumfuru Wala kujuta Zaid ya kumuomba Allah amponye. Wako mpka unamtuma dukan anaenda na kurud khaaa then unatuma emoji za 😭. Any way Kila binadamu huwa na matamanio yake juu ya kile alichonacho hupenda kiwe Zaid.

Na asipokuwa kuwa nacho Sasa ndo huomba apate chochote kile ilimrad kiwe kitu tuu kitachompa heshima ( nadhan hapa Kuna watu watanielewa naamisha nn). Mshukuru Mungu kwa Kila Jambo.
 
sijajua mkuu ila nachofahamu mtoto mwenye usonji huwa ana sura ya kufanana na wenzie pia anakuwa na makengeza na mdomo unakua wazi muda mwingi
Kichwa kinakua chembamba...kimepanda juu...na mate..na meno yanakua hayana mpangilio .tabasamu muda wote
 
Mkuu mtihani mgumu sana huu lakini inshaallah Mungu atajalia atakuwa poa tu mtoto

Yaani mkuu.. InshAAllah naamini ipo siku M/Mungu atajaalia tu atakuwa poa.. shukrani.. ni KUSHUKURU tu hakuna kingine mambo zingine zinakuwa juu ya uwezo wetu unashukuru tu hamna cha ziada.. na kuendelea kumpambania
 
Nchi zilizoendelea, tangu ujauzito, hayo matatizo yangejulikana, na nina uhakika wasingemuacha azaliwe, ili kuepuka kifo cha Mama na madhila yote hayo.

Sema mkuu ukifatilia vizuri hata nchi zilizoendelea wagonjwa wakubwa kama hao wapo mkuu. Na wana kila kitu.. sema inawezekana pia kama ulivyosema pia.. ila mambo mengine M/Mungu anawaletea kama changamoto tu .. KUSHUKURU tu na kumpambania na kuangalia mwisho wenu.. hakuna jinsi mkuu
 
Back
Top Bottom