Mwaka Mpya na Maisha Mapya... Ooh, Glory to God!

duh, we mutu cheusi una kumbukumbu ni balaa!!!........................jamani Lulu wangu mie!! ...................kwa kweli nitakunywa sumu juu yake!! ..................... aisee, Pearl mzima kabisa, itabidi nimwambie apite hapa asome mwenyewe manake ni long time...................... dah, JF safi sana..................ilinisaidia sana...................... yaani mtoto kama malaika!!.................. watu walipigana vikumbo weeee, mwenye akili zake kichwani nikajinyakulia taaaaarrrttiiiiiiiiib kabisa................ tena bila jasho ...................... teh teh......................

si tuko hapahapa dar bana ....................yale mambo yetu yalikwenda swaaafi kabisa na sasa tunakula bata tu mtoto Lulu................. karibu siku moja bana uone na yale maendeleo mengine ya akina mama teh teh..........................na wewe hongera sana mwaya, naona hapo kwenye avatar kitu kishakuchanganyia......................... mzee anastahili nishani kwa kweli..................... happy new year 2012...................

wo wow wow i see,mpe w´hi sana mshikaji wangu lulu ze pearl,na nyie nawatakia heri ya mwaka mpya,mwambie pearl anavyopotea hivyo siku akirudi hatutampokea tutamsusa.
 
teh teh................... lulu yuko bize bana, hujui tunalea siku hizi??.................... but nitamfikishia salam zako na stay tuned nitampa karuhusa kafupiiiii aje kuchungulia huku ajibu mwenyewe maswali yake....................... ila msimsuse aisee, mkiimsusa na mimi naisusa JF moja kwa moja......................
 
hongereni sana kwa kulea,ntakuja kumlelea mtoto zawadi,ila inakuaje unamkataza mtu kufika sehemu uliyompatia mkuu,haiwezekani,free lulu free pearl.
 
asee karibu sana bibie mbezi luis..................lulu yuko free bana acha hizo harakati zako za kupigania uhuru wa pearl................. unajua shem wakati mwingine kale ka ugonjwa ketu ka wivu ndo huwa kanasumbua,,................. yaani mtu unajisikia kama vile akija huku JF atarushiwa ma-piiem weeeee............... khaaaa!!..................... nafikiri kwa kuwa kishapatikana na aliyekuwa akimhitaji, basi atulie tu kwa sasa.......................
 
thanx shem,kama wako wako tu,mpe uhuru ili azoee majaribu,inakuaje ww uone wivu yeye kuja huku kisa unaogopa atarushiwa mipiemu mbona wewe unakuja,tutahakikisha vipi kuwa hurushi vipiem vya hapa na pale
 
wapendwa,

nnatumaini mnakumbuka vizuri thread yangu hii hapo chini:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...0-nzito-za-maisha-yangu-ooh-glory-to-god.html

kwa sasa niko safarini kurudi dar. safari hii ni ya pekee kwangu kwa sababu huko dar pamoja na mambo mengine, nitayahitimisha rasmi maisha yangu ya sasa na kuanza maisha mapya kabisa ya ndoa.

sasa huu ndio wakati ambao mchakato wotw ule unafikia hitimisho kwa ndoa itakayofungwa katikati ya mwezi huu. awali nilitegemea ingefungwa mapema zaidi ila kuna mambo yaliingilia hapo kati na tukalazimika kuisogeza mbele.

nawashukuru wote mnaendelea kuniombea na kwa kweli bado nahitaji maombi yenu ili tukio hili likamilike salama na pia tuendelee kuombeana kwa maisha salama na matulivu ndani ya ndoa.

nawashukuru sana kwa yote na kuwatakia kila la heri katika mwaka huu 2012, tuzidi kuombeana bila kuchoka.

Mungu awabariki sana wapendwa

Glory to God!

Amen! Mungu awatangulie kwa kila jambo! Tupo pamoja ktk ulimwengu wa roho. Lakn pia nkumbken nami nategemea kuoa october!
Lets th great Glory b upon u!
 
thanx shem,kama wako wako tu,mpe uhuru ili azoee majaribu,inakuaje ww uone wivu yeye kuja huku kisa unaogopa atarushiwa mipiemu mbona wewe unakuja,tutahakikisha vipi kuwa hurushi vipiem vya hapa na pale

hapo pa kuzoea majaribu pagumu kwa kweli.................. si unaona Jf ilivyobadilika siku hizi, watu wanarusha ndoano hata kwa madume menzao, sembuse malaika wangu Lulu??..................... kwa hilo nasema big noooo, never!!........................

mi ananijua ni longolongo tu hapa jamvini na kwake nimefulia kabisaaaaaaaaaaa siwezi chomoka, ...................so anajua kuwa vipiiemu vyangu vya hapa na pale havina madhara kwa binadamu.......................... ananiamini na hana wasiwasi kabisa..................... teh teh..................... long live my dear Pearl!!.................

he!.................... tusijekuwa tunachakachua sredi ya watu....................... wenyewe wanakata mbuga kwenda kuolewa................ teh teh........................ JF bana............................
 
Mnanisema eeeeeeh?
 
Mnanisema eeeeeeh?

sasa roho yangu imetulia,we mdada vibaya hivyo,ndo nin kutuacha wenzio na upweke wa kukumiss,welcome back na usipotee tena please,i missed u sweet pearl.Heri ya mwaka mpya mpendwa wangu.
 
God forbid,hapo pekundu uliyajuaje hayo shem wangu.?
 
sasa roho yangu imetulia,we mdada vibaya hivyo,ndo nin kutuacha wenzio na upweke wa kukumiss,welcome back na usipotee tena please,i missed u sweet pearl.Heri ya mwaka mpya mpendwa wangu.

Cjambo love,Mungu ni mwema tumeuona mwaka,miss u sana swty love
 
mi sijaridhika kwa kweli.................. maneno kama hayo kwenye bold mdada kumwambia mwenziye???!!................. hivi mods wako wapi wajameni ....................... bahati yenu sijakiona kidude cha ................ ................. ningewasemelea!!..........
 
karibu sana ktk chama kiki cha walala uchi,ukitaka kiwe kibaya ama kizuri ni wewe mwenyewe!mungu awe nawe
 
Glory to God, All the best Ms Judith, Mungu aliyeanza kazi njema, aendelee kuwa pamoja nanyi.
 
Wengine wanatamani kuingia, wengine wanatamani kutoka. All da best Miss Judith, Mungu akutangulie ktk kila hatua hadi siku ya harusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom