Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,277
- 4,683
mafisadi na wenye mgodi has nothing to loose,losers ni wananchi maana damage has been done already na wale walio sign contracts....dawa ni kuwa vote out hao CCM waliofanikisha hii kitu labda watajifunza lakini kufunga mgodi naona ni wrong target na wataishia kuchapwa tuu na FFU,lakini cha ajabu CCM watashinda hapo Buzwagi kwa kishindo,hao wananchi wana deserve hii hali ya umaskini maana kazi yao ni kutukana wapinzani kuwaona matapeli kumbe wanachangia kuua nchi
Koba,
always pessimistic brother,lakini huoni kuwa tayari wameanza kujifunza?Cha msingi ni kuwaunga mkono ili kukeep that spirit alive mpaka pale muda wa mabadiliko (I suppose 2010) utakawapowadia.Ni kweli unayosema bu that's now history kwani si wa Buzwagi pekee,kilio ni cha wengi kote nchini.Na mafundisho tuliyoyapata ndo hasira hizi.