Mwaka mgumu kwa mafisadi: Wananchi Buzwagi wafunga mgodi wakitaka fidia

Fidia ya nini? Tuache uzembe wa kukubali kubali vijisenti halafu tunawaachia wakichota matrilioni kutoka kwenye ardhi zetu. Wananchi wamilikishwe migodi kwa ubia. Wawekezaji wana zana za kuchimba madini, wananchi wana ardhi yenye madini. Hapo ng

....at laeast basi hizo contracts ziwe fair deals kwenye royalties,fees,taxes,jobs na wananchi washirikishwe kinamna fulani na ni vizuri percentage ya kinachopatikana kiwe mandatory kinabaki kwa wananchi wa hapo kusaidia elimu na maendeleo yao kwa ujumla,lakini cha ajabu kwa sasa wanaachiwa mashimo tuu na vumbi....its sad sad!
 
Back
Top Bottom