Hiyo ngoma bila kuongea ukweli aliyeanzisha na nia nzuri katikati akaharibu haitaenda. Wakati mwingine kiburi sio kizuri, jamaa wa ccm wanafanya kiburi cha waziwazi nakukwepa kwenye ukweli mchana kweupe.katika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue,"dochvere
Kikwete na CCM yake lao moja!
JK hayuko huru katika hili jambo na pia hayuko "fair".
J.Key yuko zake USA akingojea kuongea na Watanzania waliko DC Maryland, Virginia NY etc. Kaacha moto home, anaenda kula summer US. What a joke!!! Soma blog ya vijimambo utaona tangazo la mkutanokatika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue,
Chanzo: Deutsche Welle
Sasa wao ccm si walisema katiba itapita bila UKAWA Sasa wanataka muafaka wa nini ? wakati wenyewe tayari wana katiba yao mfukoni, watakaoleta machafuko ni wao CCM kwa kiburi tu walichonacho